Usomaji wa Diploma vyuo vikuu badala ya kutoka Form Four

mussa msigwa

Member
Joined
Jun 24, 2019
Posts
7
Reaction score
2
Habarini nduguu zangu. Naombaa kuuliza eti unaweza kuapply chuo kikuu kwa mtu aliyetoka Form 4 na anapenda kusoma Diploma kwa course tofauti kama ya afya?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habarinii nduguu zangu..Naombaa kuuliza et waweza kuapply chuo kikuu kwa mtuu aliyee toka form 4 na anapendaa kusoma diploma kwa course tofautii tofauti Kama ya afya?

Sent using Jamii Forums mobile app
Unasoma vizuri kikubwa ufaulu mzuri Olevel na diploma upate gpa kubwa hasa first class. Kuna mwana yupo MD3 Udom Olevel alipt four ya 26

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…