Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,398
- 102,530
Niliikuta "Sauzi Afirika" hii!Nimeguswa na hiyo ya "TANESCO" wakikata umeme tunatoka nje kuhakikisha kama na kwa majirani wamekata.Karibu Tanzania ππ
-Kila dawa ya meno tunaiita COLGATE
hatujali
π ndio tupo hivyo!!
-Kila sabuni tunaiita OMO
ndio tulivyo ππ
-Tunahodisha kwa mkono na mdomo mda huo "koh koh koh" kuna mtu?
ee ndio utanzania
tutafanyaje? π
-Tanesco wakizima umeme tunatoka nje kuangalia kama ni kote au LA ππ
ndio hivi tulivyo ππ
-Dah tunatumia sabuni kuogea hadi inakua kama line ya simu πππ₯±π₯±π₯±
wala hatujali !!
-Tunanunua kitu, hatusomi maelekezo, tunauliza majirani unatumiaje?
ππ ee ndo sisi unakataa au
-Tunatoa pesa ATM kisha tunazihesabu kabla ya kuondoka ππ
-Hatumuamini mtu yeyote π hata mashine iliyotengenezwa na mtu πππππππ€£π€£
Ndo asili yetu
-Tuna lock gari kisha tunajaribu kuifungua mara mbili tuone kama inafunguka au LA π€£π€£π hapa tumezidi
-Tunapunguza sauti ili tu tusikilize kipi kinachonukia π€£π€£π€£π this is us π€£π€£π€£
Niambie umeguswa na ipi? π
πI mean no malice to nobody
View attachment 2638305
Mbona umekasirika mkuu?Bado 1-2.Nonsense.
Mbona una makasiriko, Kama umekosa uji wa msibani π€π€Nonsense.
Una maudhi ujue?πMbona una makasiriko, Kama umekosa uji wa msibani π€π€
Tufurahi tu mkuu, ππUna maudhi ujue?π
Don't clutter your conversation with emojis especially dysphoria emojis. Displaying such emotions in a conversation makes you look like a soy boy and a clown.Mbona una makasiriko, Kama umekosa uji wa msibani π€π€
Sera zetu π Panga mkononiDon't clutter your conversation with emojis especially dysphoria emojis. Displaying such emotions in a conversation makes you look like a soy boy and a clown.
A conversation filled with emojis is dirty, noisy and childish. Write what you intend to write without relying on emoticons to trigger emotions. Leave emotions to women.
Angalau uwe unajifunza kupanga hoja, sio una ruka ruka Kama mchicha mwibaπ€.Don't clutter your conversation with emojis especially dysphoria emojis. Displaying such emotions in a conversation makes you look like a soy boy and a clown.
A conversation filled with emojis is dirty, noisy and childish. Write what you intend to write without relying on emoticons to trigger emotions. Leave emotions to women.
Pamoja sana mzee wa I mean no malice to nobodySera zetu π Panga mkononi
π Roho begani
Mwizi anaye chipukia National Anthem, mwenyekiti wa mizagamuano Mzee wa kupambania, chambo wa chama Cha wezi Analyse, mpiga chaboo@Poor Brain, miyeyusho stow away
Jamaa ana leta usanii, kwenye jumba la SanaaππPamoja sana mzee wa I mean no malice to nobody
Daktari anamwamsha mgonjwa ili amchome sindano ya usingizi π€
π π hiyo ya ku test milango ya gari nimo aisee .. huwa siamini kabisa kama imejifunga vizuriSera zetu π Panga mkononi
π Roho begani
Mwizi anaye chipukia National Anthem, mwenyekiti wa mizagamuano Mzee wa kupambania, chambo wa chama Cha wezi Analyse, mpiga chaboo@Poor Brain, miyeyusho stow away
Utasikia uko kwenu upoπππNiliikuta "Sauzi Afirika" hii!Nimeguswa na hiyo ya "TANESCO" wakikata umeme tunatoka nje kuhakikisha kama na kwa majirani wamekata.
Oyaaa Mzee wa kupambania lazima tumshughulikie huyu dogoππ. Ana jitajirisha mwenyeweππ π hiyo ya ku test milango ya gari nimo aisee .. huwa siamini kabisa kama imejifunga vizuri
We mdada usiye penda pesa, Mamboπ€Utasikia uko kwenu upoπππ