Mkuu hawa watu ukiwarudisha lazma warudie. Kum jamaa hapa kazini alichepuka na mke wa mtu mume kakuta sms, sasa mwanamke anamwambia mchepuko wake, "subiri jamaa hasira zake zitaisha", mambi kama haya ndo yananipa mashakaMkuu kama unampenda mrudishe tu. Usiogope watu. Et watanicheka. Wake zawatu tunaewaona wakitoka ni wa ngapi? Alafu kuna kitu huw mi kinanipa ujinga flani, mwanaume akifumania mkew anafukuza. Mda huo ana mchepuko nje au ananunua hata changundoa.
Mkuu siyo wote ungejaribisha kumurudisha. Lakini unaweka masharti magumu.Mkuu hawa watu ukiwarudisha lazma warudie. Kum jamaa hapa kazini alichepuka na mke wa mtu mume kakuta sms, sasa mwanamke anamwambia mchepuko wake, "subiri jamaa hasira zake zitaisha", mambi kama haya ndo yananipa mashaka
ki ukweli nalikivuta hisia umbo lake na jinsi nilivyo mwenyewe naona nimrudishe.Ila sioni kama ni wife materialJomba endelea kukaza, ukianza kuvutia picha utamu wa papuchi utakuta unamrudisha!!
Papuchi ni hatari kwa afya ya ubongo!!
Mkuu yeye anasema ni shetani. Sasa mkuu ukimrudisha ni kwamba shetani amekufa au? Sasa shetani si bado yupo?
Masharti gani?Mkuu siyo wote ungejaribisha kumurudisha. Lakini unaweka masharti magumu.
Kuna msemo unasema hivi "ukicheua matapishi unatema chini, ila ukicheua keki huna budi kuimeza tena"....Naandika haya ikiwa nina ushawishi wa kurudiana na mwanake aliyenisaliti kwa mwanaume mwingine.
Muda si mrefu uliyopita niliomba ushauri kuhusu mwanamke aliyesilati na hatimaye kuweka ngumu kuondoka nyumbani..nashukuru kwa ushauri mlionishauri hayimaye niliweza kumrudisha kwao japo simu na sms zake za msamaa hazikomii. Ila mwanaume nimeshaweka msimamo simtaki!!
Ila kiukweli nisidanganye ni kwamba sa nyingine nafikiria kumrudisha napokuwa mpweke nikifikiria mapenzi aliyokuwa ananipa na mbaya zaidi nikiangalia nibomu navyopata kutoka kwa hawa wanawake wa mjini niliyowatafuta kwa ajili ya kuniliwaza.
Ila tena nikiwaza jinsi mwanaume mwingine aliyekuwa akimpumulia mwananke wangu nasita kumrudisha hasa nikifikiria huyo mwanaume alivyokuwa anamsifu mwanamke wangu alivyomkatikia.
Kwa kweli usipoangalia utarudi kule kule na utaoneka fala wa karne!!
Naandika haya ikiwa nina ushawishi wa kurudiana na mwanake aliyenisaliti kwa mwanaume mwingine.
Muda si mrefu uliyopita niliomba ushauri kuhusu mwanamke aliyesilati na hatimaye kuweka ngumu kuondoka nyumbani..nashukuru kwa ushauri mlionishauri hayimaye niliweza kumrudisha kwao japo simu na sms zake za msamaa hazikomii. Ila mwanaume nimeshaweka msimamo simtaki!!
Ila kiukweli nisidanganye ni kwamba sa nyingine nafikiria kumrudisha napokuwa mpweke nikifikiria mapenzi aliyokuwa ananipa na mbaya zaidi nikiangalia nibomu navyopata kutoka kwa hawa wanawake wa mjini niliyowatafuta kwa ajili ya kuniliwaza.
Ila tena nikiwaza jinsi mwanaume mwingine aliyekuwa akimpumulia mwananke wangu nasita kumrudisha hasa nikifikiria huyo mwanaume alivyokuwa anamsifu mwanamke wangu alivyomkatikia.
Kwa kweli usipoangalia utarudi kule kule na utaoneka fala wa karne!!
Huna msimamo.ki ukweli nalikivuta hisia umbo lake na jinsi nilivyo mwenyewe naona nimrudishe.Ila sioni kama ni wife material
Oya satan au whatever, huu ushauri wako hau-apply zama hizi hata kidogo. Na huyu jogger akiwa bwege watampigia kila siku. Jitu linapigwa huko wewe unahudumia??? nyambaf