Amon Mwakyabala
Member
- Feb 7, 2019
- 25
- 9
nawapata hawa, kuna mchina anaongea kiswahili kama mzaramo hapoJina la kiwanda tafadhali
Bei zenu ziko juu mno,
Kibongo bongo hatujafika huko kwenye kununua Msauzi wa geji 32 kwa Elfu 65@pc
Sent using Jamii Forums mobile app