Nawasalim wote wanajamii forums,
Haya ndiyo nisiyoweza kuyasahau ktk maisha yangu yote!
Ilikuwa mwaka 2016 nikiwa naishi kinondoni mtaa wa moscow.
Nilikuwa nimepanga chumba kimoja. Nanilikuwa bachela. Ila bachela mcha Mungu kweli kweli. Nasema mcha MUNGU
Wakati nimehamia kwa ile nyumba
Mala nyingi alfajiri kuna mjishindo nilikuwa nausikia juu ya bati. kama vile jiwe zito mno. Nikamweleza jamaangu mmoja.
Akasema huyo nimchawi anakuwa aludi
Kutoka kuwanga. Baada yakuambiwa hivo
Kila ninalolijua kuwa ni ovu niljiepsha nalo.
Mimi nikawa mtu wa ibada. Baada yahapo ule mjishindo waalfajili hakusikika tena,
Ila alikuwepo jamaa wachumba chapili
Ambae kila siku asubuh tukiamka ilikuwa lazima tumkute nje.
MATUKIO ya moto usiojulikana sababu ndani yavyumba ukaanza.
1. Kila kilichokuwa juu ya meza kiliungua.
Tiv, kin'gamzi, deki. Limote na sabufa. Vyote viliungua.
2. Chumba kingine. Sofa, ndoo zenye maji, na baadhi ya nguo, vyote viliungua.
3 chumba cha mjukuu wamwenye nyumba godoro liliungua ila kitanda Hakikuungua hata kidodo.
Matukio yote yalifanyika wiki baada yawik.
Mama mwenye nyumba aleta mganga.
Itaendelea jioni.