Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,554
Kua mstaarabu japo kidogo ...hii picha inahusiana nini na kuumwa na ngePole mkuu
Niwie radhi ndugu yangu,nilikosea.Kua mstaarabu japo kidogo ...hii picha inahusiana nini na kuumwa na nge
Niwie radhi mkuu,nilikosea.Duu jamaa ulitaka kuweka picha ya nge naona ukakosea file.unatuharibia saumu bana
Ametukosea sana ....kafanya nijute kufungua Uzi huuMdau joowzey umeharibu swaumu kwa sie tunaofunga usiku
Mimi izo picha ata kwa gallery yangu ziwekiNiwie radhi mkuu,nilikosea.
ulikuwa una mkiss co?Ng'e aliniuma ulimi sitasahau.
Mi nimeelewa ni bahati mbaya katika kutafuta file ukakuta umechukua lingine.pole sana jozeeNiwie radhi mkuu,nilikosea.
Imeandikwa samehe saba mara sabini,ndio nikaomba samahani kama bado una kinyongo na nilichokifanya basi shurti fanya lolote ilmradi roho yako iridhike.Ametukosea sana ....kafanya nijute kufungua Uzi huu
Hii ni tiba ya kiroho, kisayansi au kichawi?Watu wengi tunajua ukali wa mdudu aitwaje nge. Uchungu wake si wa kitoto ! Si kwa mtoto wala mtu mzima. Either kamasi au chozi lazima likutoke tu.
Nge wa porini huwa weusi na wale w nyumbani huwa wana rangi ya kahawia fulani hivi inayopendeza.
Ukiumwa na nge fanya hivi:
Mkamate nge aliyekuuma . Muue na umkate mkia.
Pekecha mkia wake uwe unga halafu paka na usugue sehemu ulipoumwa na huyo nge. Maumivu yanaisha dakika sifuri hapohapo.
Mimi nilishajaribu na nikafanikiwa na kuprove.
Na wewe ukajaribu halafu ulete mrejesho hapa.
Asante mkuu,ndio maana nilianza na neno pole mkuu lakini nikajikuta nimechagua file tofauti na hizi simu ni ngumu kidogo kutumiaMi nimeelewa ni bahati mbaya katika kutafuta file ukakuta umechukua lingine.pole sana jozee
Nilikuwa nakula dagaa kumbe yupo kwenye dagaa..ulikuwa una mkiss co?
Niwie radhi ndugu yangu,nilikosea.Mdau joowzey umeharibu swaumu kwa sie tunaofunga usiku
Tiba ni tiba tu ilimradi inaleta uponyaji...!!!!Hii ni tiba ya kiroho, kisayansi au kichawi?
Waweza bonyeza kitufe kimeandikwa "report" nami nikapatiwa haki yangu nawe roho yako ikaridhika.Ametukosea sana ....kafanya nijute kufungua Uzi huu
Mkuu kama ulikuwa hujui ni kwamba tu hizo picha ni za humuhumu jfMimi izo picha ata kwa gallery yangu ziweki