Selaa ze dodiii
Member
- Dec 19, 2011
- 11
- 3
Jina la jukwaa hili ni UTANI+UDAKU. Sasa hii iko wapi kati ya utani na udaku? Nimeshindwa kuelewa.
Teh labda arudie mara ya 3 ataelewaJina la jukwaa hili ni UTANI+UDAKU. Sasa hii iko wapi kati ya utani na udaku? Nimeshindwa kuelewa.
Teh inawezekana ila mi sijui kilaza ana sifa gani...km ni ya kutoelewa mh utakuwa mi Kilaza...natania we mjanja Angelmi mwenyewe hata sijafaham au sijui kilaza
Ha ha haaaaaa, Akiamungu. Haya angalau mechekaTeh inawezekana ila mi sijui kilaza ana sifa gani...km ni ya kutoelewa mh utakuwa mi Kilaza...natania we mjanja Angel
haina ladha
hujaeleweka mzazi
huyu karuka sarakasi na msuli..
Haya ki2 ndan ya ki2 pata majibu mapyaa ya methal za kiswahl: #1 kuku mgeni =mpokee begi #2 haba na haba=ni haba mbili #3 asiyefunzwa na mamaye =ni yatima #4 simba mwenda pole=anamnyemelea yanga #5 samaki mkunje til aenee kwenye kikaango #6 wakere wanaJF kwa post zako huone how zey knw 2 cment n krit one luv one heart lets get 2geza n ze fiiil oolryt
Kumpotezea ni njia sahihi sana!natakiwa kufanyaje? kucheka au?