Hao wasomi na wataalam ni wa MAGAMBA,hivi kweli Dr.Benson wa udsm naye unaweza kusema ni msomi mwenye tija?na ina maana wamekosekana wasomi wengine wenye vision mpaka kila mara kukimbilia kupata maoni kwa hili KUWADI la magamba?nahurumia vijana wetu wanao fundishwa pale udsm na jitu hili.Wanavyo sema wananchi wa Arumeru wamefuata mkumbo kwani wao hawana maono na kujua nani mwenye nia halisi ya kuwasaidia? acheni utafiti wenu usiokuwa na kichwa wala miguu.Tunaikumbuka sana REDET kwa kupindisha ukweli.