Mimi ilitokea 2017 Iringa town pale mtaa mmoja kwa mkulu sijui mkulo (sifaham sana nlkua mgeni) nlikutana na binti mmoja mrembo mwenye figa matata alkua ana asili ya kikomoro iv au kihabeshi wale waarabu ambao sio weupe kupitiliza nlisemezana nae ikawa tumeelewana akanpa namba zake za cmu kufika home kumbe nliingza namba vbaya nlitambua hilo kwa kua nlirudia namba nkawa nmelikosa tunda lile mujarrab kmasihara sanaa