Ushauri

Wernery G Kapinga

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2012
Posts
381
Reaction score
131
Mwanangu amemaliza kidato Cha sita kwa HGL. Akasome chuo gani ambacho ana uhakika wa kuajiriwa? Maisha magumu kwetu balaaa. Naomba kuwasilisha
 
Kama apenda education bas asome linguistic
Lkn kozi zingine sina uzoef kwan sahz ajira zenyew n kulenga na manat
 
Au ajaribu koz za zinazohusiana na upimaj aridh nimeskia pia zinalipa japo sina uhakika sana
 
Amin nakwambia akasomee, mambo ya ufundi, let say ufundi wa magari au mitambo, pia kama ada iko vyema akasomee jinsi ya kuendesha hata Ile mitambo kama makatapila hivi
Utakuja kunishukuru one day
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…