Ushauri wangu wa leo

Usihukumu wakati hujafanya uchunguzi,

Hujafanya utafiti huna haki ya kusema.

Huna takwimu huwezi kujenga hoja.

Muwr na pasaka njema tuombee amani ya nchi yetu.
Hukusema ujumbe huu umwendee nani!
Kina Lazaro mbona wanahukumu na kujenga hoja bila kuwa na data na bado wanaita ramli walizotumia kutoa hukumu kwamba ni za kisayansi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…