miss strong
JF-Expert Member
- Jul 4, 2012
- 7,011
- 3,708
Kuchangia pesa mkuu.
Habar wana JF?
Mim ni kijana m tz nimetokea kumpenda dada mmoja yeye ameajiriwa katika hotel flan maarufu hapa jijin. Hv sasa nina mpango wa kununua vitu vya ndan kama vile KITANDA,GODORO na vitu vyote vya ndan. Nimejaribu kumgusia mpnz wng huyu juu ya malengo hayo alichoniambia yeye tushirikiane kununua hizo saman zote. Kumbuka tulishawah kukutana kimwl mara nyng tu.
TATIZO:linakuja wap sasa yy anavyosisitizia hili swala hatak mm nikanunua hvy vitu peke yangu,pasipokuwa na ushirikiano wake.
Je n kwl ana nia ya dhat ya kuwa na mm??
Msaada wana JF....

Dharau nyingine huwa ni kujitafutia tu mwenyewe japo sasa yaweza onekana kama ni kusaidiana! Nunua mwenyewe bwana mdogo, yaani unanunua godoro hadi unaenda kumshirikisha? Kuna vitu wewe mwanaume lazima uwe makini navyo otherwise ata kununua lock ya mlango utataka kwenda kumshirikisha kwa gear ya upendo. baadae japo anakaa kwake kodi yako iishe mbio unaenda kumwambia ili mchangie gharama eti cost sharing au kujali??????????
Upendo Sio Hisia, Ni Uamuzi.
dogo acha ujibga huyo sio mke wewe...kwanza kashakugawia paluchi y umshirikishe? nunua kwa mapenzi yako na hasichangie lolote. kidume ata siku moja usilogwe kuchangia vitu na demu unless ni mke wako na wewe ndio iliyemtoa bikra