Ushauri wako ni muhimu sana!

nilifikiria sana kumshauri amuache ila nikaona atampa shida sana kwani naamini akimuacha atarejea kwa jamaa wa Dom na kwa kuwa jamaa wa Dom ameonyeshwa ishara mbaya hatakuwa naye kwa uwaminifu na hivyo ipo siku mapenzi yakichuja hatamvumilia atamuacha na lawama zote zitatupwa kwa rafiki yangu bila yeye kumfuata asinge msaliti jamaa! so anaweza chukia wanaume katika maisha yake!
 
Huyo mwanamke amwambie jamaa wa dom kuwa jamaa anayeishi nae ni usalama wa t..a..i..f..a harafu uone kama atakuja!!
ehm ngoja tujaribu kupitia huyo Demu tuone kama atazidi kukomaa! duh sijui haogopi kuwa na mtu asiyempenda wenzake tunakimbilia tunakopendwa tupate kuwa huru na miyo yetu si kila akitoka unahisi kuibiwa yeye anang'ang'ania kuwa roho juu muda wote!
 
sure nimekuelewa na pengine kunakitu nimejifunza katika mchango wako!
 
Kama Mpo Dar ya nini kuogopa?
Dar kuna watu mahiri kama kina
1. Kamuhanda
2 .Mwigulu Nchemba
3. Ramadhan.

Mripoti haraka arudi Dodoma bila Macho na atapigwa bomu.
ahaaaa unanikumbusha habari zileeee katika jukwaa lileeeeeeeeee hadi raha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…