Baba_Enock
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 7,076
- 2,465
Ndugu wanajf, kuna jambo ambalo linaniumiza sana kichwa! Hivi kuna umuhmu wowote kuhakikisha unafanya sex na mpenzi wako kabla ya ndoa? Nimefuatilia mijadala mingi ya vijana wa kiume wakisema kuwa ukifanya sex na binti unayempenda at least unajiwekea uhakika wa kuwa naye. Jf members naomba mtizamo wenu juu ya hili.
Unajua sometimes unaweza ukamwambia mtu NO IT'S NOT GOOD au YES IT'S GOOD halafu at the end of the day akifanya halafu akija kuulizwa anasema mbona niliambiwa na fulani kwamba IT'S GOOD/IT'S NOT GOOD kwahiyo ni bora kumuacha afanye the LAST DECISION yeye mwenyewe na ndio maana ikabidi nimwambie he/she has to follow the heart.mmhh really ????
Ahaaa ahaaa sawa bwanaMmeanza....ngoja nikalale wakubwa wanaongea!!
Mwambie sio kabisa sio vizuri kuniacha peke yanguhahahah lol
usimwache peke yake
maana mmmhhhhhh
Hujambo lakini dear??
Unajua sometimes unaweza ukamwambia mtu NO IT'S NOT GOOD au YES IT'S GOOD halafu at the end of the day akifanya halafu akija kuulizwa anasema mbona niliambiwa na fulani kwamba IT'S GOOD/IT'S NOT GOOD kwahiyo ni bora kumuacha afanye the LAST DECISION yeye mwenyewe na ndio maana ikabidi nimwambie he/she has to follow the heart.
mmmmmhhhhh
Umeanza kunichokoza lol!!! I want you to Live well-Laugh often-love muchUnajua sometimes unaweza ukamwambia mtu NO IT'S NOT GOOD au YES IT'S GOOD halafu at the end of the day akifanya halafu akija kuulizwa anasema mbona niliambiwa na fulani kwamba IT'S GOOD/IT'S NOT GOOD kwahiyo ni bora kumuacha afanye the LAST DECISION yeye mwenyewe na ndio maana ikabidi nimwambie he/she has to follow the heart.
mmmmmhhhhh
Umeanza kunichokoza lol!!! I want you to Live well-Laugh often-love much
nimekununia sana ..
You always look beautiful and nice unapokuwa umenuna lol!!nimekununia sana ..
You always look beautiful and nice unapokuwa umenuna lol!!
mmmhhh
Nitafute ukiwa free...
Huyu dada sijamsikia kitambo, sijui yupo wapi ambao jf haipatikani...hahahahahahah lol
Hivi ile chupa ya Konyagi
umesha ikausha sis...