alongakeke
Member
- Feb 3, 2017
- 98
- 30
Sawa mkuu ntakutafutaNenda Singida au manyara (babati) anza biashara ya kununua Alzet kisha unakamua na kuuza mafuta pamoja na mashudu. Huwezi kujutia Biashara hiyo! Kama ukihitaji ushauri mwingine wasiliana nami nikushauri mkuu.
SawaSawa mkuu ntakutafuta
Naendelea kupokea maoniwakuu habar zenu. Mimi nilikua mfanyakazi wa kampuni flani ya uchimbaji migodini . Mimi ni mkazi wa Mwanza.Niliacha kazi na kuanza kufatilia mafao yangu NssF na hatimaye baada ya mwaka mmja nimelipwa mafao yangu yote . Nna mtaji uko tayar Tsh 210m cash na Nna mpango wa kufanya ujasiriamali lakn nna kwama nijikite kwenye biashara gan maana kila anaenishaur ananiambia biashara zile zile zilizozoeleka tena maeneo yale yale.mmoja jana kanishaur biashara ya nguo kufata dubai, mwingine alinipa idea ya kufungua bar mkoani mwanza,mwingine kanishaur ninunue hiace tano niziweke ruti ya igoma buhongwa au airport buhongwa, mwingine kaniambia nianzishe shule, wakuu napata tabu maana naona kama biashara hizo ntakua nafanya kitu kile kile kwa namna ile ile hivyo itakua ngumu kujitofautisha na wengine hata ROI itakua ndogo sana na itachukua muda sana, Naomba wakuu ushauri na mwenye idea ya biashara yenye ubunifu na utofauti kidogo anisaidie naweza hata ku fund idea yako tukafanya patnership. Niko tayar kufanya Bbiashara mkoa wowote wa tanzania sio lazima Iwe Mwanza tu.
210.Million 210 au 21?
ok,wewe interest yako ni ipi?ujue wazo la biashara linaanzia within either kwa hobby,experience,mazingira n.k kama ukiweza weka list ya biashara zinazoclick wa mind yako kisha kwa kusaidiana na wadau tutadadavua210.
Nimeshajua unachotaka kuhakikisha... tehteehhhMillion 210 au 21?
Kuwa makini mkuu, maana nyie watu mliotokea Bully naona mnapigwa sana humu mtaani.Sawa mkuu ntakutafuta
fala wewe!! ila jamaa ana pesa ndefu hatar natamani kumuomba hata laki 2 niboreshe biashara yangu ,Nimeshajua unachotaka kuhakikisha... tehteehhh
Nilifikiria biashara ya electronics lakn naona kama na yenyewe imedorora sana kwa sasa,ok,wewe interest yako ni ipi?ujue wazo la biashara linaanzia within either kwa hobby,experience,mazingira n.k kama ukiweza weka list ya biashara zinazoclick wa mind yako kisha kwa kusaidiana na wadau tutadadavua
Kwa kuwa unauzoefu katik uchimbaji, nakushauri uanze kununua dhahabu kwa wachimbaji wadogo wadogo hapo geita, tenga hata 10 million utaona faida yake. Unachotakiwa kuwanacho makini ni timu ambayo utakayofanyanayo kazi.wakuu habar zenu. Mimi nilikua mfanyakazi wa kampuni flani ya uchimbaji migodini . Mimi ni mkazi wa Mwanza.Niliacha kazi na kuanza kufatilia mafao yangu NssF na hatimaye baada ya mwaka mmja nimelipwa mafao yangu yote . Nna mtaji uko tayar Tsh 210m cash na Nna mpango wa kufanya ujasiriamali lakn nna kwama nijikite kwenye biashara gan maana kila anaenishaur ananiambia biashara zile zile zilizozoeleka tena maeneo yale yale.mmoja jana kanishaur biashara ya nguo kufata dubai, mwingine alinipa idea ya kufungua bar mkoani mwanza,mwingine kanishaur ninunue hiace tano niziweke ruti ya igoma buhongwa au airport buhongwa, mwingine kaniambia nianzishe shule, wakuu napata tabu maana naona kama biashara hizo ntakua nafanya kitu kile kile kwa namna ile ile hivyo itakua ngumu kujitofautisha na wengine hata ROI itakua ndogo sana na itachukua muda sana, Naomba wakuu ushauri na mwenye idea ya biashara yenye ubunifu na utofauti kidogo anisaidie naweza hata ku fund idea yako tukafanya patnership. Niko tayar kufanya Bbiashara mkoa wowote wa tanzania sio lazima Iwe Mwanza tu.