Natanguliza heshima zangu kwenu.
Jamani samahani nasumbuliwa sana na tumbo hasa maeneo ya chini ya kitovu pamoja na maumivu makali huku nikiharisha inaweza kunichukua hadi lisaa kutulia na kuanza tena kuuma.
Mwenye kujua hili tatizo nahitaji ushauri wako kiongozi nitashukuru sana.