Habari wadau.
Dogo amemaliza diploma mtwara huko.aliomba kusoma degree Na tcu wamemchagua kusoma HRM Chuo cha ushirika Moshi.
Nimeingia official website ya Chuo cha ushirika wameroa list ya vijana waliochaguliwa kusoma hapo chuoni.lakini jina la Dogo halipo.
Ushauri Tafadhali.