Nilikuwa nataka kujuwa hivi ni kweli mtu wa miaka kumi na 15 anaweza kumpa mdada mimba wa miaka 27?
Ni mdogo wangu wa mwisho anamiaka kumi na tano saiz leo asubuhi kuna mdada amekuja home na wamama wakidai kapewa mimba na dogo ila mdogo wangu alikataa kuwa hajampa huyo mdada ambaye alisema ana miaka 27, ila saizi nimeongea na mdogo wangu kwa kumpeleleza sana akasema ni kweli alikuwa anasex naye.
Ila mimi nilitaka kujuwa kuwa nikweli kuna uwezekano wa kijana wa miaka 15 kumpa mdada wa miaka 27 mimba?
Na mimba inamiezi minne mpaka sasa, wasiwasi wangu asije akawa amesakiziwa maana wadada wa siku hizi ni hatari.
huo ni ubakaji,na kama ni kweli mda wote alikuwa wapi,na pia umri wa miaka 15 siyo mkubwa kivile kiasi cha kumpa huyo mbakaji mimba.cha msingi pelekeni hiyo kesi ya ubakaji mahakamani kisha mengine yatafuata.na kama akizalia jela basi huyo mtoto aitwe 2PAC
kama kaweza kuchovya,ajue na kukamua na kanika,,,kama dogo anasoma dada ashtakiwe,,kama dereva boda boda kasingiziwa,,,kama hom boy ya kwake huyo ,,,Mpe hongera kapata mtoto mapema ndo kauli yangu mbiyo,, mkali wa kutoa mapacha hapa @
Uwezo anao sana Kama ameshabarehe, hiyo dada anawexa hykumiwa kwa Kosa la sexual exploitation. Tena mwambie asisubutu kuleta shida..maana mkienda polisi kuna dawati la jinsia ndio linahusika, hatoki hapo!
Nilikuwa najiuliza kwa nini bro kaoa nesi na hajaoa mwanasheria au mwasibu nikagundua manesi wanaumuhimu sana ndani hasa kwenye vitu kama ivi. Ungekuwa nesi ungeleta Uzi mwingine