Steve_Analysts
Member
- Nov 18, 2016
- 14
- 2
Kula matango sana na bamia nipe majibu baada ya week, punguza kugegeda kama ulikuwa unagonga tatu kwa siku piga kamoja tuHabari zenu wakuu...
Takribani wiki moja sasa imepita nimekuwa nikikabiliwa na tatizo la maumivu ya magoti,hali hii imesabababishwa na mazoezi ya kukimbia kila siku asubuhi uwanjani katika jitihada za kutengeneza afya.Naomba kupata ushauri kutoka kwa wataalamu na wenye uzoefu na hili jambo kunijuza,je kukimbia kunaweza kusababisha maumivu ya goti?je nifanyeje niweze kupata tiba ya magoti ili niweze kuendelea na mazoezi asubuhi?
Hali hii imekua ikitokea mara kwa mara pale ninapoamua kuanza mazoezi asubuhi,kila ninapoanza mazoez baada ya wiki 2 nalazimika kuacha kutokana na maumivu ninayoyapata kwenye viunga vya goti.
Kuna raba maalum za kukimbilia ambazo zina damp effect unapokimbia hasa ukiwa na maumivu ya magoti. Uwanja wa mpira ni mgumu?Nakimbia kuzunguka uwanja wa mpira,natumia raba za kawaida (wanaziita simple zina soli ya kawaida). Huenda ikawa ni sababu ya maumivu ya magoti...........Je nitumie raba zenye soli ya aina gani,na sehemu gani ambayo napaswa kufanyia mazoezi ya kukimbia?
Habari zenu wakuu,
Takribani wiki moja sasa imepita nimekuwa nikikabiliwa na tatizo la maumivu ya magoti,hali hii imesabababishwa na mazoezi ya kukimbia kila siku asubuhi uwanjani katika jitihada za kutengeneza afya.
Naomba kupata ushauri kutoka kwa wataalamu na wenye uzoefu na hili jambo kunijuza,je kukimbia kunaweza kusababisha maumivu ya goti?
Je, nifanyeje niweze kupata tiba ya magoti ili niweze kuendelea na mazoezi asubuhi?
Hali hii imekuwa ikitokea mara kwa mara pale ninapoamua kuanza mazoezi asubuhi,kila ninapoanza mazoezi baada ya wiki 2 nalazimika kuacha kutokana na maumivu ninayoyapata kwenye viunga vya goti.
Sio kuwaza kurudi mazoezini haraka.., la hasha.,kwa mwanamichezo ungekuwa nje ya mchezo hata miezi miwili au mitatu(kibongo bongo)....ila ukitaka kuona ni jinsi gani ungetakiwa kutulia pasipo kulazimisha mazoezi....mtafute DIABY yule wa arsenal ,nadhani kwa sasa yupo ufaransa alikaa zaidi ya miaka tatizo ni magoti tu...,huku TZ kwetu dawa ya haraka ni Bamia au virudisha vilainishi mguuni..,bado sijasema yawezekana magoti yana maji..,n.k ila cha msingi usiharakishe kuwahi mazoezi ,kula bamia kama nilivyosema ila jizuie mazoezi haswa haswa wanaziita squat(kuulazimisha kukunja goti hadi mwisho ) ukilazimisha utajitafutia kilemaSawa chief nadhani ntaanza dozi ya bamia very soon niweze kurejea kwenye ulingo wa mazoezi ili kuijenga vyema afya yangu