kt the irreplaceable
JF-Expert Member
- Oct 12, 2017
- 2,389
- 4,935
Umeandika proposal ngapi za kuleta wadhamini? Bongo mnaendekeza lawama sana, Tp mazembe wana wachezaji wabovu?Timu ina wadhamini hivyo pesa hizo zitumike vyema kufanya kazi...
Kama akili zako ni ushuzi basi umeula...
Timu ikiendelea hivi ina maana wazamini ambao wataweka pesa watapungua... na akija yoyote atachukuliwa ata kama udhamini wake hauna tija, Sababu kuu itakuwa ni pesa, kutembeza bakuli
Ni bora timu ifahamike ina matatizo ya kifedha kuliko fedha zipo alafu zina tumika vibaya na wapenzi washabiki wakae kimya
Washabiki wana ipa timu mapato kwa njia mbalimbali ndizo sehemu ya kuendesha timu
Viingilio
Jezi
Kadi za uanachama
Nk
Wakati timu zingine zina tafuta ata hao mashabiki waweze kuendeleza timu yao/zao
Tatizo la scouting wa kutafta wachezaj alip yanga tu hata simba na vilabu vingine lipoMashindano ya kimataifa ndio imeanza, tafuteni scout wa kuwatafutia wachezaji wazuri zaidi watakaowasaidia hapo Yanga katika mashindano ya kimataifa.
Huu ujinga wa kuleta mchezaji toka Uingereza anakuja kulipwa hela nyingi na kuja kukaa benchi....... ni hela ambazo zingetosha kabisa kumuajiri scout wa kutafuta vipaji vitakavyoisadia Yanga kipiga hatua nyingi mbele.
Na huu ujinga mwingine wa kutujazia Wakongo ambao viwango vyao vinazidiwa na wachezaji wengi tu wa Kitanzania muuache vilevile tafuta scout afanye kazi hiyo.
Na huu ujinga wa kumsajili mchezaji baada ya kumuona akicheza mechi moja au mbili na akacheza vizuri, mkakurupuka na kumsajili vilevile muuache, tafuta scout afanye hiyo kazi ya kumfatilia zaidi huyo mchezaji.....
Maana inawezekana hata hapo baada ya kucheza na Al Hilal mshaanza na maongezi na baadhi ya wachezaji wao.
Nimemaliza
Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
Utopolo bhana kweli haji hakukosea. Kwani viongozi wenu wanavohimiza wanautopolo mkajaze uwanja, kununua jezi na kulipa ladi za uanachama wanataka nini?Umeshawahi kuchangia hela kiasi gani kusajili wachezaji?
Yaani wewe jamaa kilaza sana. Soma vizuri hoja yake. Tumiemi scout vizuri kama wapo kama hawapo muajiri scout. Mana mnasajiri kwa mihemko tuu nq kulipa fedha nyingi wachezaji halafu hawawapi matokeo yanayotakiwa kimataifa.Kiwango cha mchezaji mwenye quality kubwa kinataka pesa. Al Hilal wana wachezaji wamesajili kwa billion+. Huyo scout atacompete na timu za waarabu wanaolipa mishahara million 200? Au mmezoea mpira wenu wa maneno mengi
Simba imesajili mchezaji gani mwenye potential au potential unaipima kwa kusifiwa na oscar oscar? Hakuna quality player atakuja kulipwa salary mil 5. Scouting ni pesa fulstopYaani wewe jamaa kilaza sana. Soma vizuri hoja yake. Tumiemi scout vizuri kama wapo kama hawapo muajiri scout. Mana mnasajiri kwa mihemko tuu nq kulipa fedha nyingi wachezaji halafu hawawapi matokeo yanayotakiwa kimataifa.
Simba hii imekuwa ikisajiri wachezaji kwa bei rahisi lkn wenye potential mpaka wanafikia kuuzwa vilabu vikubwa. Pesa ipo ila mnaishindwa kuitumia kufanya usajirri bora
Nini kinatosha? Kombe la milioni 50?Yani wewe jamaa ni mpuuzi sana, hivi hao wadhamini unaozungumzia wanatosha kucover salary za quality players? Bongo bado ndio tunaanza kujitafuta kwenye soka usiwe mjinga unanyoosha tu vidole jitahidi uielewe soka kwanza acha ushabiki maandaz
Safari ni hatua na mipango, angalia hiyo club african chanzo cha mapato... angalia wadhamini ktk kila sehemu mpaka mabegani... hizo zote pesaHuo udhamini ambao huwezi gombania mchezaji na tp mazembe, asec au piramid?
Yanga bado timu changa kimuundo tusitarajie makubwa
Kamuulize Calvin twisa ndio kazi yake aliyopewa na timu ya yangaUmeandika proposal ngapi za kuleta wadhamini? Bongo mnaendekeza lawama sana, Tp mazembe wana wachezaji wabovu?
Kama ye mwenyewe ndo scout basi hana jicho la kuona vipaji mpaka anaamua kuwarudisha kisinda na morissonnMkuu wewe si mwanachama mfuatiliaji,Yeye ndo Scout mwenyewe,anaendaga kumalizana nao huko huko,wananchi inabaki kupokea tu.
Morrison alitoka Simba. Lazima atakuwa na mvuto masikioni mwa Yanga. Sababu aliachwa Simba.Kwanini Yanga walimuacha ntibanzokiza wakamchukua morisoni
Umejibu vyema sana Mkuu sisi Yanga tulikutana na Timu ngumu sana Africa, Zalan ni Timu ngumu sana ukiacha Al HilalSimba wameenda makundi sio kwa sababu wana timu bora, wamefuzu sababu wamekutana na vibonde. Mungu alikuwa upande wao, sasa subiri uwaone kwenye makundi
Miaka yote huwa wanakutana vibonde? Walipofuzu na kupangwa kwenye makund kisha wakatoboa hadi robo fainali, Simba Sc alikutanishwa na vibonde?Simba wameenda makundi sio kwa sababu wana timu bora, wamefuzu sababu wamekutana na vibonde. Mungu alikuwa upande wao, sasa subiri uwaone kwenye makundi
Ulizia bajeti ya Yanga kwa mwaka sh ngapi, pia hao wadhamini hawatoi zote kwa mkupuo bali kiasi flani kila mwaka.Safari ni hatua na mipango, angalia hiyo club african chanzo cha mapato... angalia wadhamini ktk kila sehemu mpaka mabegani... hizo zote pesa
Unapo fanya vizuri una jua nini kina tokea?
Una fahamu kwann simba ana jitofautisha na yanga ktk upande wa udhamini?
Hataki kupewa sawa sababu ya mafanikio yake kimataifa yana mnufaisha mdhamini zaidi na yanga anavyo fanya alafu wana pewa mapato sawa
Sikatai mkuu ila sio wote tunaweza kuwasajili, dau lao sio la kitoto ndio maana tunasubiri wamalize mikataba yao ndio tuwasajiliMazembe hii hii au ya zamani? Mazembe hii ya Thomas Ulimwengu, Ramadhani Singano na Eliud Ambokile? Ndo usajili wa kutisha huo!? Kwa ukanda huu wa Afrika Mashariki na kati hakuna mbabe wa kuwanyanganya mchezaji Simba na Yanga, tuache kuishi kwa historia.
Ataachaje kushinda na timu wakati anasijili watu ambao hata bata anaenda kula naoPia injinia kama rais wA club, aache muda mwingi kushinda na team, wachezaji wanamzoea sana.. awe anatokea kwenye matukio muhimu hata wachezaji wakimuona siku hiyo wanajua kuna jambo zito
Kumbe kusimamia majengo tayari unakua engineer,Yes.... ni engineer kweli alikuwa akisimamia baadhi ya majengo yaliyojengwa ya GSM
Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
Sio tu kuchangia bali pamoja na kuchezea team yangu 🚶Umeshawahi kuchangia hela kiasi gani kusajili wachezaji?