jombaa askari
JF-Expert Member
- Sep 27, 2017
- 494
- 531
Labda achangie ushuzi, anadhani wachezaji wanasajiliwa na mdomo.Umeshawai kuchangia hela kiasi gani kusajili wachezaji?
Hoja sio kuchangia pesa, ingekuwa ni hoja ya pesa basi mjadala ungeegemea hapoUmeshawai kuchangia hela kiasi gani kusajili wachezaji?
Nna kadi ya uanachama nishalipia 29,000Umeshawai kuchangia hela kiasi gani kusajili wachezaji?
Timu ina wadhamini hivyo pesa hizo zitumike vyema kufanya kazi...Labda achangie ushuzi, anadhani wachezaji wanasajiliwa na mdomo.
Naam mkuu ni aina ya wachezaji na viwango vyao ndo maana nimezungumzia uscout wa klabuHoja sio kuchangia pesa, ingekuwa ni hoja ya pesa basi mjadala ungeegemea hapo
Mjadala ni aina ya wachezaji na viwango vyao....
Kiwango cha mchezaji mwenye quality kubwa kinataka pesa. Al Hilal wana wachezaji wamesajili kwa billion+. Huyo scout atacompete na timu za waarabu wanaolipa mishahara million 200? Au mmezoea mpira wenu wa maneno mengiHoja sio kuchangia pesa, ingekuwa ni hoja ya pesa basi mjadala ungeegemea hapo
Mjadala ni aina ya wachezaji na viwango vyao....
Yani wewe jamaa ni mpuuzi sana, hivi hao wadhamini unaozungumzia wanatosha kucover salary za quality players? Bongo bado ndio tunaanza kujitafuta kwenye soka usiwe mjinga unanyoosha tu vidole jitahidi uielewe soka kwanza acha ushabiki maandazTimu ina wadhamini hivyo pesa hizo zitumike vyema kufanya kazi...
Kama akili zako ni ushuzi basi umeula...
Timu ikiendelea hivi ina maana wazamini ambao wataweka pesa watapungua... na akija yoyote atachukuliwa ata kama udhamini wake hauna tija, Sababu kuu itakuwa ni pesa, kutembeza bakuli
Ni bora timu ifahamike ina matatizo ya kifedha kuliko fedha zipo alafu zina tumika vibaya na wapenzi washabiki wakae kimya
Washabiki wana ipa timu mapato kwa njia mbalimbali ndizo sehemu ya kuendesha timu
Viingilio
Jezi
Kadi za uanachama
Nk
Wakati timu zingine zina tafuta ata hao mashabiki waweze kuendeleza timu yao/zao
Watumwa ktk utwana wao
Muda mwingi alioshinda na wachezaji umeuhesabu wapi wewe?Pia injinia kama rais wA club, aache muda mwingi kushinda na team, wachezaji wanamzoea sana.. awe anatokea kwenye matukio muhimu hata wachezaji wakimuona siku hiyo wanajua kuna jambo zito
Mbona unaumia mkuu, ela si zao?Mashindano ya klabu bingwa ndo haya yameanza, tafuteni scout wa kuwatafutia wachezaji wazuri zaidi watakaowasaidia hapo yanga Katika mashindano ya kimataifa
Huu ujinga wa kuleta mchezaji toka uingereza anakuja kulipwa hela nyingi na kuja kukaa benchi....... ni hela ambazo zingetosha kabisa kumuajiri scout wa kutafuta vipaji vitakavyo isadia yanga kipiga hatua nyingi mbele
Na huu ujinga mwingine wa kutujazia wakongo ambao viwango vyao vinazidiwa na wachezaji wengi tu wa kitanzania muuache vilevile tafuta scout afanye kazi hiyo
Na huu ujinga wa kumsajili mchezaji baada ya kumuona akicheza mechi moja au mbili na akacheza vizuri, mkakurupuka na kumsajili vilevile muuache tafuta scout afanye hiyo kazi ya kumfatilia zaidi huyo mchezaji..... maana inawezekana hata hapo baada ya kucheza na Al Ahli mshaanza na maongezi na baadhi ya wachezaji wao
Nimemaliza
Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
Kweli kabisa.... maana yeye mechi za mikoani yupo mechi ya sudani yupo mpaka wachezaji wakimuona hawamchukulii kama bosi wao tenaPia injinia kama rais wA club, aache muda mwingi kushinda na team, wachezaji wanamzoea sana.. awe anatokea kwenye matukio muhimu hata wachezaji wakimuona siku hiyo wanajua kuna jambo zito
Sasa huo upuuzi wake ni upi.... kama huwezi kuchangia kwa lugha ya stara kaa kimyaYani wewe jamaa ni mpuuzi sana, hivi hao wadhamini unaozungumzia wanatosha kucover salary za quality players? Bongo bado ndio tunaanza kujitafuta kwenye soka usiwe mjinga unanyoosha tu vidole jitahidi uielewe soka kwanza acha ushabiki maandaz
Huo udhamini ambao huwezi gombania mchezaji na tp mazembe, asec au piramid?Timu ina wadhamini hivyo pesa hizo zitumike vyema kufanya kazi...
Kama akili zako ni ushuzi basi umeula...
Timu ikiendelea hivi ina maana wazamini ambao wataweka pesa watapungua... na akija yoyote atachukuliwa ata kama udhamini wake hauna tija, Sababu kuu itakuwa ni pesa, kutembeza bakuli
Ni bora timu ifahamike ina matatizo ya kifedha kuliko fedha zipo alafu zina tumika vibaya na wapenzi washabiki wakae kimya
Washabiki wana ipa timu mapato kwa njia mbalimbali ndizo sehemu ya kuendesha timu
Viingilio
Jezi
Kadi za uanachama
Nk
Wakati timu zingine zina tafuta ata hao mashabiki waweze kuendeleza timu yao/zao
Nitajie Rais wa club kubwa duniani ambaye aendi kutazama mechi za timu yake uwanjaniKweli kabisa.... maana yeye mechi za mikoani yupo mechi ya sudani yupo mpaka wachezaji wakimuona hawamchukulii kama bosi wao tena
Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app