Ushauri kwa mmakonde mwenzangu Harmonize

Nkutuu silahez mwahsika ??? tafasiri yake = kwani tuna ugomvi na wachaga ????
Hamna ugomvi ila si mmeshsur hamonize wenu amuache wolper bas na wao watakuja kumshaur ambane vizur
 
Yaani mniskitika sana, lisiku limu vanimhoji na milard ayo mkuchi nang"e bado mjoko akaweza kuva na mmahe hambi nelo panimmona na aneyo LIKAVENGA lya mwanza yaani nangu kusikitika namene
Tafsir pliz
 
Baaaa nkubwa mwenzio kumuita ntonto hata hainogi!

Hata hivyo kila ntu anachagua ni nani wa kuwa nae kwenye mahuchiano! Hata akiwa nkubwa au kanyata yeye ndio kanchagua!

Acha kunsakama ntonto wa mwenzio...
 

kama hutojali, tunaomba tafsiri tafadhali maana inawezekana ni sentensi nzur lakini duh umeificha !!
 
Diamond 27 Zarina 35 difference 9 yrs.....Wolper 29 Harmonize 23 difference 7 yrs....Aunt Ezekiel 30 Mosez 23 also 7 yrs...Nisha 28 Baraka da prince 23 variation 5yrs...Shilole 29 Nedy Music 21...8 yrs....Wema Sepetu 28 Idriss 23 whch s 5 yrs... ishakua kawaida bongo...mwee vijana wamenunua walezi au mi siwaelewii
 
Aidoma oryo? Daktima ri ifak lari
 
Huyu mama angemwacha huyu mtoto walau awe hata na nyimbo tano tu.Diamond, wewe una akili sana mshauri dogo huyo, atafulia mapema sana. Natamani dogo afanikiwe, we bi mkubwa mlegezee basi dogo, nenda kwa wazee wenzio mama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…