Ushauri kuhusu Kampuni bora ya Tv

Kibo Jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2018
Posts
517
Reaction score
277
Habarini wana jamvi..

Nimekuja kwenu kuwaomba msaada kuhusiana na kampuni bora ya Tv. Nahtaji kununua inch 24.. je ni kampuni gani iko poa zaidi ukizingatia ubora wa picha. Kudumu kwa bidhaa n.k

Kati ya Samsung , Star X na LG

Nawasilisha..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…