Ushauri:kuhusu ECA combination

sudybrainy

Member
Joined
Oct 8, 2018
Posts
7
Reaction score
7
Ivi wakuu unaweza kujisajili kama private candidate kwa combination ya ECA hata kama hukusoma Commerce na bookkeeping o'level au nijisajili tu EGM?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kusoma ECA nilazima uwe una basic ya accounts na commerce uchumi kwa tanzania wanafunzi wanaanza kuusoma advance kwahyo ningekushauli usome EGM usije kwenda kutia haibu.
 
SHULE YA SEKONDARI MAURICE inawatangazia wazazi na walezi wote kwamba tunapokea wanafunzi kidato cha kwanza mwaka 2019, nafasi za kuamia kidato cha kwanza na cha pili pia tuna kituo cha mitihani kwa watahiniwa wa kujitegemea na Q.T. Vile vile pia tunapokea wanafunzi wa kidato cha tano kwa michepuo ya ECA, HGE, HGK, HKL na HGL. ADA ni nafuu sana. Shule ni ya kutwa na bweni kwa wavulana na wasichana. Shule ipo Dar es salaam wilaya ya temeke, eneo LA mbande kisewe. Simu 0785907371. Wote munakaribishwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…