mwanahabari93
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 263
- 169
Hahahahah saea kiongozi basi kweli tupo tofautiKwa hiyo usipocheka wewe unadhani na wengine hawacheki??Inawezekana una stress zako hata Mr Bean hawezi kukuchekesha
Hahahahah sawa kiongozi basi kweli tupo tofauti
Hahahahahah mwambie ukwel kk shabiki sio mmoja tu.Kwa hiyo usipocheka wewe unadhani na wengine hawacheki??Inawezekana una stress zako hata Mr Bean hawezi kukuchekesha
kwa hiyo unatakaje kwa mfano pambana na hali yako ww anachekesha PR sembuse idrissJamaa nikweli hawezi kuchekesha. Anafosi tu. Alipoenda Kenya alikaa jukwaani mpaka anashula watu wamenuna, imagine uingie alipotoka Erick Omundi au Man Kush na kiingereza chako cha kayumba. Hata wabongo wenzake hatuchekeshi itakua wakenya! Kiukweli haui na watu wake wa karibu hawamwambii ukweli.
Mtoa mada yupo sahihi. Idriss isn't that funny, analazimisha mno fani. Ila anaweza kuwa actor mzuri sana sio comedian. Mimi ni mmojawapo ambaye sijawahi ona kichekeshacho kwa Idriss. Ila nakiri Idris is a very good speaker. Akiwa mbunifu kuna kitu kikubwa mno anaweza kukifanya (in a serious stuff) na akaiwakilisha vyema nchi, ukizingatia kijana kizungu mdomoni kipo kuliko kupoteza muda kwa comedy. Anayekukosoa ni mzuri kuliko anayekupa sifa za uongo. Hata Diamomd alianza kuchana jamani, waliompenda wakamshauri aimbe.Kwa hiyo usipocheka wewe unadhani na wengine hawacheki??Inawezekana una stress zako hata Mr Bean hawezi kukuchekesha
Umeeleweka vizuri kabisa na upo sahihi sanaMtoa mada yupo sahihi. Idriss isn't that funny, analazimisha mno fani. Ila anaweza kuwa actor mzuri sana sio comedian. Mimi ni mmojawapo ambaye sijawahi ona kichekeshacho kwa Idriss. Ila nakiri Idris is a very good speaker. Akiwa mbunifu kuna kitu kikubwa mno anaweza kukifanya (in a serious stuff) na akaiwakilisha vyema nchi, ukizingatia kijana kizungu mdomoni kipo kuliko kupoteza muda kwa comedy. Anayekukosoa ni mzuri kuliko anayekupa sifa za uongo. Hata Diamomd alianza kuchana jamani, waliompenda wakamshauri aimbe.