Usiku mwema mkuuMdada unatakiwa ujue lengo la serekali ya ccm nikuwatesa wanainchi.
Kuna watu wanajenga sasa hivi wala ata hawakatazwi na umeme wanapewa na maji wanafungiwa kodi ya jengo na ya ardhi wanalipa baada ya miaka 17 utashangaa wanabomolewa.
Tunasafari ndefu.
Acha mipango miji iwepo. Hatuna haja ya kuishi kama tupo mapangoni porini.
Vilevile watunga sheria wetu ndio wanaoleta bomoabomoa. Bomoabomoa ipo kisheria na sheria zimetungwa na wabunge tunaowachagua wenyewe. So kama hutaki mipango miji na bomoabomoa itakubidi uwe mbunge ukapinge sheria za mipango miji na miradi mingine inayolazimu kuwepo bomoabomoa, au chagua mbunge unayeamini ataweza kuzuia hiki.
Mleta mada acha uvivu wa kufikiri
Nahisi ajakuelewa kabisammnh hivi wewe umenielewa kweli????🙄🙄🙄
sina uhakika sanammnh hivi wewe umenielewa kweli????🙄🙄🙄
Acha uongo.Acha mipango miji iwepo. Hatuna haja ya kuishi kama tupo mapangoni porini.
Vilevile watunga sheria wetu ndio wanaoleta bomoabomoa. Bomoabomoa ipo kisheria na sheria zimetungwa na wabunge tunaowachagua wenyewe. So kama hutaki mipango miji na bomoabomoa itakubidi uwe mbunge ukapinge sheria za mipango miji na miradi mingine inayolazimu kuwepo bomoabomoa, au chagua mbunge unayeamini ataweza kuzuia hiki.
Mleta mada acha uvivu wa kufikiri
Ngoja nitafute nauli.karibu kwetu Itigi,lol
Hakika wewe hujui kitu.Acha uongo.
Aliyesema Mwanza wasivunjiwe lilikua bunge lile?
Aliyetaka Jangwani pavunjwe lilikua bunge lile?
Hakika wewe hujui kitu.
Suala la mwanza lilikuwa ni suala la mipaka. Taasisi ile ya serikali iliambiwa wazi kuwa kabla ya kubomolea wananchi inabidi ikae nao kwanza kujadili mipaka halisi. Tena wapo walioambia waanze kubomoa majengo yao wenyewe kabla hawajabomolewa kwa mujibu wa sheria, nao ni wale waliojenga karibu na uwanja wa ndege, na barabara iendayo huko.
Jangwani na maeneo mengine yanayostahili kuvunjwa, na yaliyavunjwa kweli, ni kwa mujibu wa sheria zilizotungwa na bunge. Au ulitaka spika wa bunge atoe tamko kuwa wavunjiwe ndio ujue ni bunge?
Wengine utawalaumu bure tu, wale ni watekelezaji wa sheria za bunge tu.
Na anapaswa kuelewa kuwa kubomoa ni suluhisho la mwisho saana kwa mtu aliyeshindwa kutumia njia mbadala kabisa. Ubomoaji huu unawaacha wahanga wengi wakiwa fukara na chuki mioyoni. Hivyo basi, sheria za ujenzi zielimishwe kwa wananchi. Ufanyikapo ujenzi wasimamizi wa hizo sheria wafanye kazi zao kwa haki kuepusha hasara mbeleni.Mdada unatakiwa ujue lengo la serekali ya ccm nikuwatesa wanainchi.
Kuna watu wanajenga sasa hivi wala ata hawakatazwi na umeme wanapewa na maji wanafungiwa kodi ya jengo na ya ardhi wanalipa baada ya miaka 17 utashangaa wanabomolewa.
Tunasafari ndefu.
Aisee! Hivi huwa zinatungwa sheria za bomoabomoa au sheria za mipango miji? Kwamba hutungwa sheria ili kubomoa nyumba? FafanuaAcha mipango miji iwepo. Hatuna haja ya kuishi kama tupo mapangoni porini.
Vilevile watunga sheria wetu ndio wanaoleta bomoabomoa. Bomoabomoa ipo kisheria na sheria zimetungwa na wabunge tunaowachagua wenyewe. So kama hutaki mipango miji na bomoabomoa itakubidi uwe mbunge ukapinge sheria za mipango miji na miradi mingine inayolazimu kuwepo bomoabomoa, au chagua mbunge unayeamini ataweza kuzuia hiki.
Mleta mada acha uvivu wa kufikiri
Mipango miji na Miradi ya maendeleo inaanza, bomoabomoa ni matokeo na hatua za kupisha miradi hiyoAisee! Hivi huwa zinatungwa sheria za bomoabomoa au sheria za mipango miji? Kwamba hujanywa sheria ili kubomoa nyumba tu? Fafanua.
Kwa hiyo, zinatungwa sheria za mipango miji au ujenzi kwa lengo mahsusi baadaye ufanyike ubomoaji ili kutisha miundombinu?Mipango miji na Miradi ya maendeleo inaanza, bomoabomoa ni matokeo na hatua za kupisha miradi hiyo