Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,341
- 289,369
Asante sana mkuu , ifike mahali wachezaji wamuogope Mungu kwa kuwa na uchungu na hela za watu wanaowahudumia .Una mawazo kama yangu. Kinachoitafuna Azam kwa sasa ni ile u seniority, kuwaona kina John Boko, Sure boy na wengine, waliopandisha kama ndo wenye team
Azam kwa sasa inabidi kufanya reform kubwa ili kuendana na kasi ya sasa ya soka duniani.. Vinginevyo yatakuwa yale yale tu kila siku. Team ina huduma nzuri ila hakuna kitu.
Suala mkuu sio kwamba hawana uchungu au hawamuogopi Mungu kwa kile wanacho earn dhidi ya return yao.... Ila uwezo wao wachezaji wengi umeshafika kikomo.... Kama makocha wanatimuliwa kwa kukosa mbinu kwa nini na wachezaji wasiondolewe???Asante sana mkuu , ifike mahali wachezaji wamuogope Mungu kwa kuwa na uchungu na hela za watu wanaowahudumia .
Mjomba , inawezekana ukawa na hoja , lakini mengine yanaonekana wazi , sijawahi kusikia wachezaji wa azam wamesafirishwa kwa bodaboda au labda kulala gesti yenye kunguni kama timu yetu ya simba kule songea .Hivi una uhakika hao wachezaji wanapewa kila kitu?
hizi timu zina siri nyiingi sana...usione jina kubwa Azam ukafikiri ni pepo
wafanyakazi tu wa kampuni za Azam wanatia huruma.....
kuna mengi hatuyajui tutakuja kuyajua wakitoka hapo
Mjomba , inawezekana ukawa na hoja , lakini mengine yanaonekana wazi , sijawahi kusikia wachezaji wa azam wamesafirishwa kwa bodaboda au labda kulala gesti yenye kunguni kama timu yetu ya simba kule songea .
Inawezekana kabisa The boss.Azam kuna tatizo
mimi nilipoona siku ile Mrisho Ngasa anaiponda Azam na akarudi Yanga licha ya kutozwa faini
ndo nikajua Azam kuna tatizo kuubwa
Kwamba wamekuja Azam kujikimu siyo ? Wanafungwaje na timu uchwara namna hii aisee ?Acha kuiponda timu yangu wewe wanafanya uzembe kivipi we unataka washinde kila siku ili maana ya ushindani isiwepo? Kuna timu gani haipendi kushinda? na hao unaowashauri watimuliwe familia zao utasaidia kulea wewe?
Wakifanya vizuri tutawasifia lakini kwa sasa tutaendelea kushawishi watimuliwe tu .Bakizeni maneno,msiponde kama Muro wakati mpira unadunda.Kama uwezo wa hao wachezaji umefikia kikomo,kocha ndiye mwenye maamzi.
Kwanza kwenye mpira futa hilo neno timu uchwara,katika mpira kila timu inapambana na inahitaji ushindi..kujikimu ni kwa kila mchezaji awe anatoka nje ya Azam au ndani mana ile ni ajira yao na ni biashara piaKwamba wamekuja Azam kujikimu siyo ? Wanafungwaje na timu uchwara namna hii aisee ?
Biashara bila faida si itafilisika sasa. Ukiona biashara mbovu si unabadili strategies.Kwanza kwenye mpira futa hilo neno timu uchwara,katika mpira kila timu inapambana na inahitaji ushindi..kujikimu ni kwa kila mchezaji awe anatoka nje ya Azam au ndani mana ile ni ajira yao na ni biashara pia
Kuna biashara ambayo haina hasara? Hao Azam wamefungwa mara ngapi mpaka wafukuze wachezaji? Je timu kama Yanga ifukuze wachezaji kisa imefungwa na Stendi UTD?Biashara bila faida si itafilisika sasa. Ukiona biashara mbovu si unabadili strategies.
Hatumaanishi kufungwa mechi moja au mbili. Ila return yao ni tofauti na walicho wekeza.Kuna biashara ambayo haina hasara? Hao Azam wamefungwa mara ngapi mpaka wafukuze wachezaji? Je timu kama Yanga ifukuze wachezaji kisa imefungwa na Stendi UTD?
Sasa ulitaka wa return kikubwa kivipi? Je Azam wana mtaji mkubwa wa mashabikiHatumaanishi kufungwa mechi moja au mbili. Ila return yao ni tofauti na walicho wekeza.
Iv kuna team gani hapa Bongo ina facilities za maana kama Azam. Imefika mpaka wamejengewa viwanja viwili vya mazoezi. Smooth Ground na rough ground, Hostels za wachezaji NK. Kama ni mashabiki huwa wanaruhusiwa kuingia bure Chamanzi pale. Nini tena kinahitajika hapo...Sasa ulitaka wa return kikubwa kivipi? Je Azam wana mtaji mkubwa wa mashabiki
ambao watawaingizia mapato makubwa? Je bidhaa zao wanazouza zinanunuliwa na watu wengi kama zilivyo Simba na Yanga? Timu ndo kwanza inazidi kukua halafu unataka iwe na mafanikio makubwa kwa muda mchache Usiwe mshangiliaji kuwa mshabiki
Ubishi utakusaidia nini wewe ?Sasa ulitaka wa return kikubwa kivipi? Je Azam wana mtaji mkubwa wa mashabiki
ambao watawaingizia mapato makubwa? Je bidhaa zao wanazouza zinanunuliwa na watu wengi kama zilivyo Simba na Yanga? Timu ndo kwanza inazidi kukua halafu unataka iwe na mafanikio makubwa kwa muda mchache Usiwe mshangiliaji kuwa mshabiki