NywanokooMimi ni mgeni humu, leo nmeona nijiunge nipate shauri zenu wanaJF. Nimeamua kujiunga baada ya kuambiwa na rafiki yangu kuwa alipata ushauri mzuri sana na umemsaidia kwa namna moja au nyingine.
Ushauri wenu nauomba kwny hii ishu iliyonikuta mwenzenu.
Mimi kijana wa kiume ambaye nilimaliza chuo miaka michache iliyopita. Nimebahatika kuwa kwenye mahusiano na binti mmoja kwa muda sasa na malengo yetu ni kuoana. Hapa juzi kati nilisafiri kidg nikaondoka dsm nikaelekea mkoani Mwanza kwajili shughuli za kutafuta ajila na ridhiki kwa ujumla. Siunajua tena hizi tamaa, nikakutana na mdada mmoja anasoma nursing diploma kwny chuo kimoja kipo mwanza(sitakitaja jina) nilimtamani na nikamtaka urafiki akakubali baadae nikaanza kurusha kete nikimtaka kimahusiano. Alinitolea mbali lakini ikanibidi nikabidi nikomae tu ikabidi nianze kumfunga kamba(lies) nikamwambia bas nikuoe. Baada ya siku kazaa akakubali. Nimekula mzigo na nmekuja kunwambia kuwa mm nina mtu ila nilikutamani na ukweli wote nilimpatia ili kumuweka wazi. Lakini alilia na akasema mimi amenipenda tu hata nikiwa ninamtu anataka nimuoe yeye nikimuacha anasema atakunywa sumu. Hyo kauli amekua akiitoa mara kwa kwa mara hata ninashindwa nifanyeje. Nimemwambia vyote vyakutaka akate tamaa lakini dogo amekazana tu ..kuwa nikimpiga chini anajinyonga. Jamani nisaidieni mwenzenu nifanye nini kuepusha hii laana inayoniijia.
Naombeni ushauri.. [emoji47][emoji47][emoji47][emoji47][emoji47]
Vipi Elimu ya Mwanamke uliemwacha Dar. Tuanze na hiloooooMimi ni mgeni humu, leo nmeona nijiunge nipate shauri zenu wanaJF. Nimeamua kujiunga baada ya kuambiwa na rafiki yangu kuwa alipata ushauri mzuri sana na umemsaidia kwa namna moja au nyingine.
Ushauri wenu nauomba kwny hii ishu iliyonikuta mwenzenu.
Mimi kijana wa kiume ambaye nilimaliza chuo miaka michache iliyopita. Nimebahatika kuwa kwenye mahusiano na binti mmoja kwa muda sasa na malengo yetu ni kuoana. Hapa juzi kati nilisafiri kidg nikaondoka dsm nikaelekea mkoani Mwanza kwajili shughuli za kutafuta ajila na ridhiki kwa ujumla. Siunajua tena hizi tamaa, nikakutana na mdada mmoja anasoma nursing diploma kwny chuo kimoja kipo mwanza(sitakitaja jina) nilimtamani na nikamtaka urafiki akakubali baadae nikaanza kurusha kete nikimtaka kimahusiano. Alinitolea mbali lakini ikanibidi nikabidi nikomae tu ikabidi nianze kumfunga kamba(lies) nikamwambia bas nikuoe. Baada ya siku kazaa akakubali. Nimekula mzigo na nmekuja kunwambia kuwa mm nina mtu ila nilikutamani na ukweli wote nilimpatia ili kumuweka wazi. Lakini alilia na akasema mimi amenipenda tu hata nikiwa ninamtu anataka nimuoe yeye nikimuacha anasema atakunywa sumu. Hyo kauli amekua akiitoa mara kwa kwa mara hata ninashindwa nifanyeje. Nimemwambia vyote vyakutaka akate tamaa lakini dogo amekazana tu ..kuwa nikimpiga chini anajinyonga. Jamani nisaidieni mwenzenu nifanye nini kuepusha hii laana inayoniijia.
Naombeni ushauri.. [emoji47][emoji47][emoji47][emoji47][emoji47]
Angalia yupi ana mapenzi ya dhati na Kwelii.... Alafu huyo mwingine weka Parking kwa ajili ya Matumizi.Ameishia 4m four akapiga certificate then dip.
Mmh Ahsante kwa ushauri. Ila sina kabisa hisia naye tena huyu wa mwanza. Yaani nimejitahid sana.. yaani yeye anajileta ghetto kila mara ila mimi napiga chenga cuz hisia naye tena hamna[emoji47][emoji47]Angalia yupi ana mapenzi ya dhati na Kwelii.... Alafu huyo mwingine weka Parking kwa ajili ya Matumizi.
Mi sioi mzee [emoji46][emoji46][emoji46]. Yeye angoje mwingine tuHivo mnavo watenda hao masista vibaya kwa kuwa tu hamna mipango nao mnatuharibia wenzenu tunao kutana nao baadaye. Ndio unakuta mtu hisia zilisha kata mnaenda naye basi tuu.
Sasa kwa kuwa ulitamka mwenyewe kwamba ita muoa fanya hivi fastaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Angalia yupi ana mapenzi ya dhati na Kwelii.... Alafu huyo mwingine weka Parking kwa ajili ya Matumizi.
Hamna kaka ulisema mwenyewe wacha kauli yako itimieMi sioi mzee [emoji46][emoji46][emoji46]. Yeye angoje mwingine tu
Mmmh [emoji30][emoji30][emoji30][emoji30], ngoma nzito hapo kaka. Ule ulikuwa niuongo tu sasa namuoaje wakati mimi mwnyw maisha yangu menuewe hayajasomeka. Ahsante kwa ushauri ila sitautumia huo ushauri aiseeHamna kaka ulisema mwenyewe wacha kauli yako itimie
Bas acha utotoKuoa tena wakati sina hata mahali wala uwezo wa kumtunza huyo mwanamke.!! [emoji35][emoji35][emoji35]