Habari!
Box ni XPLOID
speakers ni PIONEER double
Bei ni tsh 120,000 (negotiable)
ipo ktk hali nzuri, Dar es salaam
Kwa mawasiliano 0717149646 (tuma sms)
poleni wadau nmejaribu ku weka picha nmechemka, na watts cjui kwani nlnunua kwa matumizi ya kwenye gar na gar kwa ss nmeuza, ndio sabab nauza mali yangu. Ss cjui labda unichek whatsapp nkupatie picha 0717149646 asanten!
Picha ya spiker ndo hyo kwa utaalam wenu mnaweza kujua ni wats ngapi kwan inakita balaa, mi mnipe tu 120000 yangu. Kwa muhitaj napatkana sinza white inn