Used office furnitures for sale

DESMOND DAVID

Member
Joined
Jan 31, 2011
Posts
79
Reaction score
7


Used furniture za maofisini zinauzwa kwa bei nzuri na bado ziko kwenye hali nzuri. Zipo Dar.

Kwa mawasiliano: 0716 797 416 au 022 2771586
 
Taja bei mkuu kwa kila pic watu tujue tunajipangaje au ndo unataka kubargain kwanza
 
kwa hizo hapo kwenye picha meza ni 250000 kwa 150000,kabati 250000
 
kiongozi hzo meza bado zipo au zishachukuliwa?nijibu tufanye biashara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…