Baba Erick JF-Expert Member Joined Aug 24, 2011 Posts 483 Reaction score 75 Oct 10, 2013 #1 Tunauza simu kutoka japan kwa bei nzuri 1.galaxy s kwa 250,000/= 2.galaxy s2 kwa 350,000/= 3. Galaxy s3 kwa 470,000/= ukitaka mpya pia tutakuuzia wasiliana nasi kwenye namba o788264684 kwa maelezo zaidi
Tunauza simu kutoka japan kwa bei nzuri 1.galaxy s kwa 250,000/= 2.galaxy s2 kwa 350,000/= 3. Galaxy s3 kwa 470,000/= ukitaka mpya pia tutakuuzia wasiliana nasi kwenye namba o788264684 kwa maelezo zaidi
ARV JF-Expert Member Joined Sep 6, 2011 Posts 5,560 Reaction score 8,002 Oct 10, 2013 #2 Mpya ni bei gani.
Baba Erick JF-Expert Member Joined Aug 24, 2011 Posts 483 Reaction score 75 Oct 10, 2013 Thread starter #3 780,0000/=
hekimatele JF-Expert Member Joined May 31, 2011 Posts 9,889 Reaction score 2,808 Oct 10, 2013 #4 ndo kusema picha hakunaga? au magendo aka magumashi? Acheni uoga bhana wekeni picha. Kila siku tunaimba nyimbo hizi hizi bhanaaaaaaaaaaaa
ndo kusema picha hakunaga? au magendo aka magumashi? Acheni uoga bhana wekeni picha. Kila siku tunaimba nyimbo hizi hizi bhanaaaaaaaaaaaa
T twijuke JF-Expert Member Joined Jul 7, 2011 Posts 547 Reaction score 252 Oct 10, 2013 #5 Mimi ni mtu ambaye siamini katika picha, yako masuala amboyo mtu akidai picha anamaanisha, mfano nyumba walau hata gari kigodogo, mfano kwa wale wasafiri wa mikoani, gari unalooneshwa kwa picha c hilo utakalo safiri nalo.
Mimi ni mtu ambaye siamini katika picha, yako masuala amboyo mtu akidai picha anamaanisha, mfano nyumba walau hata gari kigodogo, mfano kwa wale wasafiri wa mikoani, gari unalooneshwa kwa picha c hilo utakalo safiri nalo.
Mjasiria Akili JF-Expert Member Joined Sep 24, 2012 Posts 823 Reaction score 372 Oct 10, 2013 #6 Hiyo s3 used ni full box au
Baba Rayhaan JF-Expert Member Joined Mar 24, 2011 Posts 643 Reaction score 447 Oct 10, 2013 #7 Mpo maeneo gani