...computer za lenovo kwenye driver package yao kunaa software inaitwa veriface, hutumika kwa ajili la ku unlock pc, tatizo la hizi software hazifanyi kazi sehemu ikiwa dark, au mwanga hafifu, so i do not suggest maana mi nimeshazitumia.
Hushauri nn?
Kama wewe umetumia na wengine ndo wasijaribu. Usikatishe watu tamaa wengine wanaweza wakazipenda na ni bure ulivyoandika as if wanaenda kununua yani.
...computer za lenovo kwenye driver package yao kunaa software inaitwa veriface, hutumika kwa ajili la ku unlock pc, tatizo la hizi software hazifanyi kazi sehemu ikiwa dark, au mwanga hafifu, so i do not suggest maana mi nimeshazitumia.
Ikitokea umepata ajali na umeumia usoni, unafanyaje?
Manake unakuta uso un maplasta kibao.
View attachment 123336View attachment 123336
Hii inafanya kazi kwa iPhone pia?? If yes how
Duh! na hili sura langu, itakubali kweli? sio itanambia "user no available?" teh! teh!