KENNY JEEZY JF-Expert Member Joined Apr 19, 2015 Posts 271 Reaction score 279 Nov 5, 2016 #1 Natafuta usb wireless adapter ambayo nitaitumia kwenye desktop, hiyo desktop iwe inaweza ku-create hotsport,,,,,,, nipo arusha
Natafuta usb wireless adapter ambayo nitaitumia kwenye desktop, hiyo desktop iwe inaweza ku-create hotsport,,,,,,, nipo arusha
mtoto wa kibopa JF-Expert Member Joined Apr 20, 2013 Posts 5,362 Reaction score 6,479 Nov 12, 2016 #2 KENNY JEEZY said: Natafuta usb wireless adapter ambayo nitaitumia kwenye desktop, hiyo desktop iwe inaweza ku-create hotsport,,,,,,, nipo arusha Click to expand... kuna mdau alikuw aauza humu hiyo kitu anaitwa window9
KENNY JEEZY said: Natafuta usb wireless adapter ambayo nitaitumia kwenye desktop, hiyo desktop iwe inaweza ku-create hotsport,,,,,,, nipo arusha Click to expand... kuna mdau alikuw aauza humu hiyo kitu anaitwa window9
Coca.com Senior Member Joined Dec 6, 2014 Posts 182 Reaction score 238 Nov 12, 2016 #3 Nunua wireless adapter(usb). Kwa arusha maduka mengi ya vifaa vya computer zinapatikana. Ila pia software nyingi za hot-spot hazifanyikazi kwenye external adapter.
Nunua wireless adapter(usb). Kwa arusha maduka mengi ya vifaa vya computer zinapatikana. Ila pia software nyingi za hot-spot hazifanyikazi kwenye external adapter.