Abdul kalaam
JF-Expert Member
- Apr 21, 2017
- 441
- 565
Kama hii thread umeandika ili upate ukweli juu ya usaili ambao haukuhusu siwez kujibu bcoz ukweli upo wazi. Ila kama ni ww ndio ulienda sema ujibiwe😁Habarini
Jamaa yangu alienda kufanya interview chuo cha mbeya (MUST)kwa nafasi ya tutorial assist wa electrical
Usaili huu ulikuwa umegubikwa na mambo mengi ya kufikirisha
Jambo la kwanza matokeo ya mtihani hayajatoka kwa watu wote yametoka kwa waliopass tu. Jambo hili sijawahi kuona kwa kweli
Pili matokeo hayapostiwa kwenye website ya utumishi
Kwa wenye uzoefu wa hizi interview aniweke wazi hapa ndio ilivyo taratibu zao au kuna watu wao waliwapanga tayari?
niambie ukweli jamaa anguKama hii thread umeandika ili upate ukweli juu ya usaili ambao haukuhusu siwez kujibu bcoz ukweli upo wazi. Ila kama ni ww ndio ulienda sema ujibiwe
OK ngoja nikuambie kwa ufupi siku nyingine mwambie jamaa yako asiende kwenye interview inayofanyika kwenye taasisi husika iliyotangaza nafasi.niambie ukweli jamaa angu
Dah hatari sanaOK ngoja nikuambie kwa ufupi siku nyingine mwambie jamaa yako asiende kwenye interview inayofanyika kwenye taasisi husika iliyotangaza nafasi.
Ukweli mchungu ni kuwa kuna intern wapo hapo na wameanza kufundisha wengine bila malipo au kwa malipo kidg au ni wanafunzi wenye GPA kubwa waliombwa kubaki kusaidia shughuli au rushwa ya kila aina imetawala.
Nakusihi ukiitwa na ukawiwa kwenda kwenye interview nenda zile za zinafanyika na kusamamiwa na utumishi wenyewe.
Hizi interview zinafanyika kwao wenyewe wanapelekewa mitihani na majibu kutoka utumishi then wanasahihisha wao wenyewe na majibu wanatuma na mtu au watu wao waliomchagua.
Ninaongea haya kwa experience coz kabla ya kutoboa niliwahi kuhudhuria interview Muhimbil Hospital ila usaili ule uligubikwa na ujinga sana hadi kunaa mwana nilisikia akiongea na jamaa yake "Wametoa mule mule tusubilie mikataba tu banduguu."
Niliapa from that day sitaenda tena kwenye interview inayofanyika tofauti na utumishi Dom au Dar.
Na leo wameitwa Kazini, waliotoboa iyoo paper
OK ngoja nikuambie kwa ufupi siku nyingine mwambie jamaa yako asiende kwenye interview inayofanyika kwenye taasisi husika iliyotangaza nafasi.
Ukweli mchungu ni kuwa kuna intern wapo hapo na wameanza kufundisha wengine bila malipo au kwa malipo kidg au ni wanafunzi wenye GPA kubwa waliombwa kubaki kusaidia shughuli au rushwa ya kila aina imetawala.
Nakusihi ukiitwa na ukawiwa kwenda kwenye interview nenda zile za zinafanyika na kusamamiwa na utumishi wenyewe.
Hizi interview zinafanyika kwao wenyewe wanapelekewa mitihani na majibu kutoka utumishi then wanasahihisha wao wenyewe na majibu wanatuma na mtu au watu wao waliomchagua.
Ninaongea haya kwa experience coz kabla ya kutoboa niliwahi kuhudhuria interview Muhimbil Hospital ila usaili ule uligubikwa na ujinga sana hadi kunaa mwana nilisikia akiongea na jamaa yake "Wametoa mule mule tusubilie mikataba tu banduguu."
Niliapa from that day sitaenda tena kwenye interview inayofanyika tofauti na utumishi Dom au Dar.
Muhimbili National Hospital sio chuoUlimaanisha Muhimbili University??
Hiyo ni kweli kabisaOK ngoja nikuambie kwa ufupi siku nyingine mwambie jamaa yako asiende kwenye interview inayofanyika kwenye taasisi husika iliyotangaza nafasi.
Ukweli mchungu ni kuwa kuna intern wapo hapo na wameanza kufundisha wengine bila malipo au kwa malipo kidg au ni wanafunzi wenye GPA kubwa waliombwa kubaki kusaidia shughuli au rushwa ya kila aina imetawala.
Nakusihi ukiitwa na ukawiwa kwenda kwenye interview nenda zile za zinafanyika na kusamamiwa na utumishi wenyewe.
Hizi interview zinafanyika kwao wenyewe wanapelekewa mitihani na majibu kutoka utumishi then wanasahihisha wao wenyewe na majibu wanatuma na mtu au watu wao waliomchagua.
Ninaongea haya kwa experience coz kabla ya kutoboa niliwahi kuhudhuria interview Muhimbil Hospital ila usaili ule uligubikwa na ujinga sana hadi kunaa mwana nilisikia akiongea na jamaa yake "Wametoa mule mule tusubilie mikataba tu banduguu."
Niliapa from that day sitaenda tena kwenye interview inayofanyika tofauti na utumishi Dom au Dar.
Ulipoitwa kwenye usaili ukafanya sherehe kabisa ukijua umeula , things are not easy kama unavyofkria
Yani huyo jamaa yako hawezi fungua uzi mpaka wewe mfungulie?Habarini
Jamaa yangu alienda kufanya interview chuo cha mbeya (MUST)kwa nafasi ya tutorial assist wa electrical
Usaili huu ulikuwa umegubikwa na mambo mengi ya kufikirisha
Jambo la kwanza matokeo ya mtihani hayajatoka kwa watu wote yametoka kwa waliopass tu. Jambo hili sijawahi kuona kwa kweli
Pili matokeo hayapostiwa kwenye website ya utumishi
Kwa wenye uzoefu wa hizi interview aniweke wazi hapa ndio ilivyo taratibu zao au kuna watu wao waliwapanga tayari?
Lakin sio wote waliopata walikuw wanajitolea hapo...kuna watu nawafahamu hawajasoma hapo na walikuw na mishe zao tu nyingine wametoboaHiyo ni kweli kabisa
Katika taasisi nyingi au makampuni siku kuna watu wanaojitolea. Inapotokea nafasi ya ajira huwa wanatangaza tu kutimiza wajibu lakini priority hupewa hao volunteers.