Usaili wa postal controller

rweu

New Member
Joined
Oct 14, 2013
Posts
4
Reaction score
0
jamani naomba kuuliza ivi ile interview ya postal controller iliyofanyika DUCE tar 19 wameishaita usaili wa pili?
 
next week ndo results wanatoa hivyo kaa tu mkao wa kula kama utakuwa shortlisted ni kumuomba tu mungu maana walisema after 1 week ila imezidi yani ndo hapo majanga ya uchakachuaji.kwa maelezo zaidi yauhakika kama nilivopewa mimi baada ya kuwapigia wao simu ya mkononi rejea email yako ya kuitwa usaili then pale kuna namba za simu wapigie then watakujibu afu nami unipe feedback kwa manufaa ya wote.
 
Wewe nawe unakera na hiyo mifursa yako.
 
umeona eehh!! bwana barry.kuna watu wengine wana ujinga tu yan.vipi barry ushawafuatilia ww hawa posta kwa kuwapigia? nipe jibu mdau wangu a.k.a mzazi wa wazazi baba la mtoto.
 
umeona eehh!! bwana barry.kuna watu wengine wana ujinga tu yan.vipi barry ushawafuatilia ww hawa posta kwa kuwapigia? nipe jibu mdau wangu a.k.a mzazi wa wazazi baba la mtoto.

Niambie mkareee
Yeah mi niliwapigia cm last wk,ilikua ni wiki ya pili toka siku ya pepa wakaniambia kua bado wafanya majumuisho wakiwa tayari watawajulisha wale walio ingia the other round through th same way walio itumia kutuita.
 
jamani naomba kuuliza ivi ile interview ya postal controller iliyofanyika DUCE tar 19 wameishaita usaili wa pili?
Wameishaanza kuita watu, kuna mtu wangu wa karibu kapigiwa simu jana kaambiwa usaili tar 14/11/013
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…