barafu JF-Expert Member Joined Apr 28, 2013 Posts 6,739 Reaction score 32,916 Jan 20, 2014 #1 Wanabodi,kuna kazi walitoa hawa Mamlaka ya Anga Tanzania toka mwaka jana,vipi kuna mtu amepata tetesi juu ya usaili wake?je walishaita watu au ndio yale mambo ya kimya kimyaaaa
Wanabodi,kuna kazi walitoa hawa Mamlaka ya Anga Tanzania toka mwaka jana,vipi kuna mtu amepata tetesi juu ya usaili wake?je walishaita watu au ndio yale mambo ya kimya kimyaaaa
mgonjwa JF-Expert Member Joined Dec 2, 2013 Posts 514 Reaction score 223 Jan 20, 2014 #2 Kaka bado .... endelea kusubiri
E erickyy Member Joined Jan 7, 2013 Posts 25 Reaction score 2 Jan 20, 2014 #3 Pale attachment mkuu..endelea na mengine.