mtafutaji2016
Senior Member
- Jun 19, 2016
- 105
- 46
Ndugu,usiwe na tabia ya kupenda kusema sema tu unachojisikia.sikudharau lakini ukweli ni kwamba kabla ya kuomba kazi sehemu yoyote ile unapaswa kufatilia pakoje kabla hujaomba kazi ili paendane na unachohitaji wewe,the way ktk matangazo ya kazi office husika huanza kwa kuelezea wanachofanya ktk jamii,malengo yao na namna wanavyo hitaji yatimie.sehemu wanazofanya kazi pia,ili tu wewe unaetaka kuomba kazi uwe na picha ya nini unaomba.sasa ukija jamiiforum kuuliza maswali kama haya binafsi nashangaa na ninaona hayana mashikoJamani tasaf wametoa majina ya usaili utakaoanza tar 16 mwezi huu wa 4..nimeitwa kwenye usaili..ningependa kujua mshahara wa tasaf na pia kazi zao ni za mkataba au la? Na kama ni mkataba je ukiisha huo mkataba unapewa mwingine??
Nawasilisha
Ndugu,usiwe na tabia ya kupenda kusema sema tu unachojisikia.sikudharau lakini ukweli ni kwamba kabla ya kuomba kazi sehemu yoyote ile unapaswa kufatilia pakoje kabla hujaomba kazi ili paendane na unachohitaji wewe,the way ktk matangazo ya kazi office husika huanza kwa kuelezea wanachofanya ktk jamii,malengo yao na namna wanavyo hitaji yatimie.sehemu wanazofanya kazi pia,ili tu wewe unaetaka kuomba kazi uwe na picha ya nini unaomba.sasa ukija jamiiforum kuuliza maswali kama haya binafsi nashangaa na ninaona hayana mashiko
JAH RASTAFARI MORNING AFRICA
Hayo majina yako wapi .....tuwekee hapa au link ....maana ukisoma deadline ilivyo kuwa na kuitwa kwenye usahili ni kama miezi sita ya kusubir wakati ilikuwa wiki mbili tuuJamani tasaf wametoa majina ya usaili utakaoanza tar 16 mwezi huu wa 4..nimeitwa kwenye usaili..ningependa kujua mshahara wa tasaf na pia kazi zao ni za mkataba au la? Na kama ni mkataba je ukiisha huo mkataba unapewa mwingine??
Nawasilisha
Mbona sioni majinaJamani tasaf wametoa majina ya usaili utakaoanza tar 16 mwezi huu wa 4..nimeitwa kwenye usaili..ningependa kujua mshahara wa tasaf na pia kazi zao ni za mkataba au la? Na kama ni mkataba je ukiisha huo mkataba unapewa mwingine??
Nawasilisha
Sasa ndo umeweka nini ...... CARITAS inahisuana na TasafShortlist TASAF
Nime clear hapo makosa...ya ku upload...nimeweka link hiyo.Sasa ndo umeweka nini ...... CARITAS inahisuana na Tasaf
Safi hapo tumekuelewa ....
hapo hata mimi nimemshangaa,ina maana aliomba kazi kwenye shirika asilolojua hata kazi yake,sasa sijui hiyo interview atafaulu vipiNdugu,usiwe na tabia ya kupenda kusema sema tu unachojisikia.sikudharau lakini ukweli ni kwamba kabla ya kuomba kazi sehemu yoyote ile unapaswa kufatilia pakoje kabla hujaomba kazi ili paendane na unachohitaji wewe,the way ktk matangazo ya kazi office husika huanza kwa kuelezea wanachofanya ktk jamii,malengo yao na namna wanavyo hitaji yatimie.sehemu wanazofanya kazi pia,ili tu wewe unaetaka kuomba kazi uwe na picha ya nini unaomba.sasa ukija jamiiforum kuuliza maswali kama haya binafsi nashangaa na ninaona hayana mashiko
JAH RASTAFARI MORNING AFRICA
Majina haya hapa .....View attachment TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI.pdfMbona sioni majina