Lady.A JF-Expert Member Joined Dec 13, 2013 Posts 393 Reaction score 194 Dec 29, 2013 #1 habari zenu wanajamii, naombeni mwenye taarifa kuhusu nafasi za kazi SUA Morogoro zilizotangazwa octoba. wameishaita kwa interview?
habari zenu wanajamii, naombeni mwenye taarifa kuhusu nafasi za kazi SUA Morogoro zilizotangazwa octoba. wameishaita kwa interview?
M majeshi 1981 JF-Expert Member Joined Dec 7, 2013 Posts 2,090 Reaction score 814 Dec 29, 2013 #2 lady.a said: habari zenu wanajamii, naombeni mwenye taarifa kuhusu nafasi za kazi sua morogoro zilizotangazwa octoba. Wameishaita kwa interview? Click to expand... angalia kwenye website yao, walishaitwa
lady.a said: habari zenu wanajamii, naombeni mwenye taarifa kuhusu nafasi za kazi sua morogoro zilizotangazwa octoba. Wameishaita kwa interview? Click to expand... angalia kwenye website yao, walishaitwa
U Undisputed Member Joined Nov 8, 2013 Posts 40 Reaction score 11 Dec 29, 2013 #3 waliita academic posts wale wa administrative posts bado hawajaita....
Lady.A JF-Expert Member Joined Dec 13, 2013 Posts 393 Reaction score 194 Dec 30, 2013 Thread starter #4 asanteni wapendwa.