Attainer Jr JF-Expert Member Joined Mar 22, 2019 Posts 440 Reaction score 833 Jul 2, 2023 #1 Mwenye kujua usahili wa tangazo hilo la kazi maana mpaka sasa kwenye app ya ajira portal hakuna notification yoyote zaidi ya Ile RECEIVED tu. Na kama wameanza na kazi waseme tujue ili mtu asiweke matumaini huko tena.
Mwenye kujua usahili wa tangazo hilo la kazi maana mpaka sasa kwenye app ya ajira portal hakuna notification yoyote zaidi ya Ile RECEIVED tu. Na kama wameanza na kazi waseme tujue ili mtu asiweke matumaini huko tena.
El marabiosh JF-Expert Member Joined Aug 31, 2019 Posts 3,009 Reaction score 6,350 Jul 2, 2023 #2 subiri bado
Slim5 JF-Expert Member Joined Jan 7, 2014 Posts 28,441 Reaction score 38,417 Jul 2, 2023 #3 Njoo tule Ugali
nzalendo Platinum Member Joined May 26, 2009 Posts 12,901 Reaction score 14,611 Jul 2, 2023 #4 Slim5 said: Njoo tule Ugali View attachment 2676321 Click to expand... Mkuu watafuta kurogwa?