Waheshimiwa naomba kuuliza, hivi inawezekana mtu aliyefanya vizuri sana kwenye mtihani wa mchujo baadae akaja kukosa kazi na akapata let say mtu aliyekua wa 3 au wa 4 kwa maksi kwenye mtihani wa mchujo?
waheshimiwa naomba kuuliza, hivi inawezekana mtu aliyefanya vizuri sana kwenye mtihani wa mchujo baadae akaja kukosa kazi na akapata let say mtu aliyekua wa 3 au wa 4 kwa maksi kwenye mtihani wa mchujo?

mfano hai hapo takukuru watu wametifua maksi za juu nkashaanga kwenye oral aliyeongoza alikuwa lowest maksi ya written huwa siamini written is the best approach ya kuajiri
nakumbuka mwaka 2012 tulipiga usahili secretariat ya ajira tena senior post niloongoza written,oral nilikamuaa maswali yote ,mwishoni wakaniambia eti waliniita kimakosa maana experince yangu ilikuwa below 10 years!