M mzuri homy Member Joined May 24, 2014 Posts 16 Reaction score 1 May 27, 2014 #1 jamani naomba kuuliza ! hilo tangazo la kuitwa kwa usahili secretarit ya ajira nafac za kazi zilitangazwa lini??
jamani naomba kuuliza ! hilo tangazo la kuitwa kwa usahili secretarit ya ajira nafac za kazi zilitangazwa lini??
F fredy essau Member Joined Feb 5, 2014 Posts 7 Reaction score 0 May 27, 2014 #2 Ilikuwa ni feb mwaka huu
M Mtendaji wa kaya JF-Expert Member Joined Mar 16, 2014 Posts 334 Reaction score 59 May 27, 2014 #3 fredy essau said: Ilikuwa ni feb mwaka huu Click to expand... Mwisho wa kutuma maombi ilikuwa lini
M mzuri homy Member Joined May 24, 2014 Posts 16 Reaction score 1 May 27, 2014 Thread starter #4 nashukuru.. maana nimeomba vya kutosha mpaka nakaribia kuchoka alaf sasa sioni jina. nilifikiri ni lile la may 9 , na may 14 na 15
nashukuru.. maana nimeomba vya kutosha mpaka nakaribia kuchoka alaf sasa sioni jina. nilifikiri ni lile la may 9 , na may 14 na 15
C colg Member Joined Jan 13, 2013 Posts 94 Reaction score 19 May 27, 2014 #5 mzuri homy said: nashukuru.. maana nimeomba vya kutosha mpaka nakaribia kuchoka alaf sasa sioni jina. nilifikiri ni lile la may 9 , na may 14 na 15 Click to expand... Uliomba nafasi gani?
mzuri homy said: nashukuru.. maana nimeomba vya kutosha mpaka nakaribia kuchoka alaf sasa sioni jina. nilifikiri ni lile la may 9 , na may 14 na 15 Click to expand... Uliomba nafasi gani?
Calamity JF-Expert Member Joined May 28, 2013 Posts 856 Reaction score 47 May 27, 2014 #6 Mtendaji wa kaya said: Mwisho wa kutuma maombi ilikuwa lini Click to expand... mwisho ilikuwa 3,march,2014, na zilitangazwa tarehe 17,18,feb,2014.
Mtendaji wa kaya said: Mwisho wa kutuma maombi ilikuwa lini Click to expand... mwisho ilikuwa 3,march,2014, na zilitangazwa tarehe 17,18,feb,2014.
M Mtendaji wa kaya JF-Expert Member Joined Mar 16, 2014 Posts 334 Reaction score 59 May 27, 2014 #7 Calamity said: mwisho ilikuwa 3,march,2014, na zilitangazwa tarehe 17,18,feb,2014. Click to expand... Mbona baadhi ya hizo kazi hazijaitwa mfano Land officer 11.. Afisa tarafa na nyinginezo! zote ilikuwa mwisho tarehe 3march
Calamity said: mwisho ilikuwa 3,march,2014, na zilitangazwa tarehe 17,18,feb,2014. Click to expand... Mbona baadhi ya hizo kazi hazijaitwa mfano Land officer 11.. Afisa tarafa na nyinginezo! zote ilikuwa mwisho tarehe 3march
U UNLOCK JF-Expert Member Joined Mar 9, 2014 Posts 268 Reaction score 37 May 27, 2014 #8 Zile za december 28 , 2013 mwaka jana walishatoa.