Heshima zenu wakuu. Natarajia kusafiri wiki ijayo kwa Treni ya Tazara kuelekea Makambako. Naomba kujua kwa wenye uzoefu wa treni hiyo.
1. Kuna mgahawa ndani ya treni?
2. Kuna vyoo? Vipo kwa mabehewa yote? Namaanisha madaraja yote (first to third class)
Naomba kuwasilisha!