Leina tours nimelipanda siku ya J2 toka kahama kuja Dar tatizo ilikuwa na hitilafu kwenye mfumo wa maji, tulianza safari kwenye saa 2.45 badala ya saa 12.30 za asubuhi cha ajabu magari yote tuliyapita dodoma! Ila inabidi usiwe mwepesi wa kuogopa speed.Make lina paa ile mbaya!