E eazy900 JF-Expert Member Joined Jun 23, 2013 Posts 349 Reaction score 124 May 21, 2015 #1 Wanajamvi tafadhari naomba anaejua mabasi kutoka Dar to mtwara, basi gani ni zuri (luxury) kituo unapandia wapi Nauli shiling ngapi muda gani unatumia kutoka dar to mtwara inawezekana kwenda na kurudi the same day asanteni
Wanajamvi tafadhari naomba anaejua mabasi kutoka Dar to mtwara, basi gani ni zuri (luxury) kituo unapandia wapi Nauli shiling ngapi muda gani unatumia kutoka dar to mtwara inawezekana kwenda na kurudi the same day asanteni
S SHIVA MAINA JF-Expert Member Joined Jan 9, 2015 Posts 293 Reaction score 42 May 21, 2015 #2 KUJA NA KURUDI THE SAME DAY HAIWEZEKANI(labda kwa Prvt car) Gari zuri Luxury Ni J.M linaanzia safari Ubungo, thn Temeke Mwisho na Mbagala rang 3, tiket unapata chmba no 7 pale Ubungo, Mm nipo Mtwara kwa sasa Karibu
KUJA NA KURUDI THE SAME DAY HAIWEZEKANI(labda kwa Prvt car) Gari zuri Luxury Ni J.M linaanzia safari Ubungo, thn Temeke Mwisho na Mbagala rang 3, tiket unapata chmba no 7 pale Ubungo, Mm nipo Mtwara kwa sasa Karibu
wajingawatu JF-Expert Member Joined Jan 20, 2013 Posts 2,051 Reaction score 2,463 May 21, 2015 #3 maning nice ipo? ngitu je? sai baba.
saritha Member Joined Oct 25, 2012 Posts 71 Reaction score 19 May 21, 2015 #4 Luxury JM , kwenda na kurudi haiwezekani, kutoka dar asbh kufika mtr ni kuanzia saa nane hv mchana na kuendelea...
Luxury JM , kwenda na kurudi haiwezekani, kutoka dar asbh kufika mtr ni kuanzia saa nane hv mchana na kuendelea...