SIMEON KATATANAMA JF-Expert Member Joined Apr 15, 2013 Posts 479 Reaction score 277 Sep 17, 2016 #1 Poleni kwa majukumu wadau. Naomba kujua kampuni ambayo inatoa usafiri wa kukodi kwa magari ya abiria hasa coaster kwa mkataba kwa hapa Arusha na ofisi zao zilipo. Natanguliza shukrani.
Poleni kwa majukumu wadau. Naomba kujua kampuni ambayo inatoa usafiri wa kukodi kwa magari ya abiria hasa coaster kwa mkataba kwa hapa Arusha na ofisi zao zilipo. Natanguliza shukrani.
Mgibeon JF-Expert Member Joined Aug 7, 2011 Posts 11,379 Reaction score 21,717 Sep 24, 2016 #2 Hebu mtafute Senye wa economy class.. nimepoteza namba zake.. nenda tu stand kuu hapo arusha utampata.
Hebu mtafute Senye wa economy class.. nimepoteza namba zake.. nenda tu stand kuu hapo arusha utampata.