US congresswoman shot

Oh! very sad, RIP GG

Jethro, CNN naangalia live wanasema bado yuko hai.
 
Bado hajafariki, daktari anayemtibu ana matumaini ya kuokoa maisha yake.
 
Arizona Killer Jared Lee Loughner Last Rant on YouTube

Last edited by a moderator:
Kwa nini watu wazuri ndio wapate taabu hata za kupigwa risasi wakati mafisadi wao wapo tu? Bora ingewatokea hawa mafisadi wanaotusumbua roho hapa.
 
Kwa nini watu wazuri ndio wapate taabu hata za kupigwa risasi wakati mafisadi wao wapo tu? Bora ingewatokea hawa mafisadi wanaotusumbua roho hapa.

Mafisadi ndio wanao wadhamini wauaji, hivyo ni vigumu wao kuuawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…