Urodaaaaa

Thisis what we call Creativity in the long run!
 
Hapo alipoweka extension cable, ikitokea hitilafu sijui itakuwaje.
 
Duh!simu imebadilisha mila na desturi za mtanzania!
 
Duuuuuuuuuuuuuuu!!!!!!!!!!! huyu binti mkareeeeeeeeeee hataki kutokuwa hewani na ubabaishaji wa taa nes ko
 
Sasa si atachoka mapema kwa kulibeba hilo limzinga???
Ngoja nije nimsaidie.
saudari umesahau kuwa JF never booring? Likitoka kichwani linawekwa bega la kulia, baada ya hapo linahamishiwa ega la kushoto.
Likitoka begani binti anatuliza kifuani.
Usifanye mchezo na Addiction ya JF
 
Ha ha ha haaaaa!!!
Nataka nione akilituliza kifuani.
 
anatembea na tanesco kichwan hahahahahahaha! Kafunika mbaya hana shda na mgao wa kila kukicha..
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…