Urgent needed - graphics and designer

mwakibete

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2009
Posts
3,069
Reaction score
2,313
Habari wanajukwaa,
Kama title inavyojieleza hapo juu, anahitajika graphics and designer kwa haraka sana.

SIFA ZA MUOMBAJI
  • Awe na ubunifu na mwenye kuleta tija kwa timu
  • Awe na kasi katika kazi yake
  • Mwenye nidhamu na kazi yake
  • Mwenye kujua kutumia softwares mbalimbali katika kudesign
For those interested may call Mr. Matimbwi 0757404460 for more information.
Kituo cha kazi ni Dar Es Salaam.

NB: Vyeti sio kikwazo, tunahitaji kipaji na ubunifu wa muhusika.

Asanteni.
 
Sorry ushampata designer au bado? Maana post ya nyuma kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…