Urgent: Mature age entry

Konzogwe

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2008
Posts
434
Reaction score
164
Nina miaka 32.Ktk mtihani wa O-Level nina A moja zingine zote D.Je,nitaruhusiwa kufanya MATURE AGE ENTRY?
 
Mi sio mtaalamu hayo mambo lakini kama umesema ni mature entry na wewe una miaka 32 ni matured enough to fit in!
 
Hujafafanua ni mature age entry ya wapi. Ila kama ni chuo kikuu, kwa uelewa wangu UDSM shahada ya kwanza unatakiwa walau uwe na C tano. Sina hakika kwa vyuo vingine
 
Sijui anataka mature age ya High School huyu!?
 
Mi sio mtaalamu hayo mambo lakini kama umesema ni mature entry na wewe una miaka 32 ni matured enough to fit in![/QUOTE]

hahaaa jamani weye mbona hivo???

sio umri tu jamani ila hapo nadhani anapaswa kuwa anagalu na vidiploma hivi itamsaidia
 
 
Mi niko US,naishi Maryland ila kuna jamaa yangu yuko hapo Bongo kamaliza form IV 1998 baadaye kasoma veta kajiajiri.Sasa anataka ajoin university through MAEE scheme 2010/11 ac year ila hajui eligibility.Kaniandikie email kuniuliza nami sijui,nikamwambia wacha niwaulize wana jf.
Nadhani nimefafanua ama sivyo!
 
Sijui wewe ulitaka ya Chuo gani, ila nimepekua mtandaoni nikaikuta hii ya UDSM

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…