Duuuuuuuuhhh yaaani hako kamchezo ka nywele bandia siwezi tuu kuongea sana but inakera sana sometimes mpaka hizo wign zinanuka...!
mi napendekeza pengine wanaume tufanye tu kampeni ya kususia hawa wenye miwigi labda hivo?
Hivi unakerwaje na mtu usiyemjua ?
kama hupendi kuwaona lala nyumbani kwako
kutokana na kutowapenda wewe hakusababishi wao kutojifake
mi napendekeza pengine wanaume tufanye tu kampeni ya kususia hawa wenye miwigi labda hivo?
yaani mi nna nywele ndefu saana natural but natan hata kuzinyoa. na umri huu cjawahi vaa wigi maishan mwangu huo ndo ushamba wangu nkisema hivyo hadi mashoga zangu hawaamin wanacheka sana
mi napendekeza pengine wanaume tufanye tu kampeni ya kususia hawa wenye miwigi labda hivo?
yaani mi nna nywele ndefu saana natural but natan hata kuzinyoa. na umri huu cjawahi vaa wigi maishan mwangu
we mwaj waukweli, hii picha hapa ni ya kwako?
tatizo ambalo umeshindwa kuliona hapa ni kwamba hawa ndo mama wa taifa letu hawa-hawa. watalea watoto wa maadili gani kama wamehalalisha udanganyifu? wewe si mzungu. una nywele pilipili. unataka dunia iamini wewe una nywele ndefu. huu ni uongo, na unahalalisha uongo huo kwa kukubali kujifake. wewe hasara ya kuhalalisha uongo unaijua?
Hivi unakerwaje na mtu usiyemjua ?
kama hupendi kuwaona lala nyumbani kwako
kutokana na kutowapenda wewe hakusababishi wao kutojifake
mh...we umeanza mizaha sasa. Hii hapa mbonapicha gani tena mbona mi cjaweka . au unataka niweke yangu?
dunia ipo kasi sana watu wanataka kua updated sasa kama wewe unaona unakerwa rudi kijijini huko halafu akivaa wigi sio uongo
yaani mi nna nywele ndefu saana natural but natan hata kuzinyoa. na umri huu cjawahi vaa wigi maishan mwangu huo ndo ushamba wangu nkisema hivyo hadi mashoga zangu hawaamin wanacheka sana
Ikiwa ni kweli hongera sana...
BREAKING NEWS: NAHISI KUNA MOD ANA MANYWELE YA BANDIA. MBONA HEADLINE YA HUU UZI IMEBADILISHWA KINYEMELA? Heading ya mwanzo ilikuwa na neno MBONA na alama ya swali mwisho. Neno mbona limiiondolewa na mod. Kwa hiyo hiyo heding si sawa. Kwa nini heding imebadilika badala ya kuwa swali imekuwa kauli isiyo na swali? Lazima kuna mod ana manywele ya bandia tu! Hii heding ilikuwa MBONA UREMBO BANDIA MIMI UNANIKERA?
HATA SENTENSI MOJA KARIBIA NA MWISHONI IMIBADILISHWA HApO.... MH...NAHISI KUNA MOD ANA MANYWELE YA BANDIA HUMU! HEBU TUONE KIPI KITAFUATA HAPA... Mbona Urembo wa bandia mimi unanikera? hiyo ndiyo heding yangu. Mod unalo? Au ndo ntapigwa pini sasa hivi!